Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Na haya ndio mawazo ya watawala wetu, nahisi wewe unaweza kuwa moja ya washauri wao!!Ni sahihi hatujajiandaa na kuwaandaa watu vya kutosha.
Lakini nchi ulizozitaja hapo juu mkuu zina wagonjwa wengi.
Moja ina zaidi ya 40.
Nyingine inayozaidi ya 1 000.
SA walikuwa hawana namna....angalia kabla ya lockdown walichokuwa wakikifanya hapa chini
Corona ilianza, mwezi wa, 12 mkuu, baadaye ndio madaktari wakashituka lkn ilikua ni baadaye sana, na ukumbuke kipindi hicho ndio kilikua,kipindi cha rikizo hivyo kama ni wanafunzi nina, imani warirudi bongo tokea, masomoni kutoka, nchi mbalimbali.pia usisahau wafanya biashara, na wana dipromasia, safari za,hapa na pale. Huko kweny mataifa ya, kubadirisha, ndege ndio usiseme lazima, mwingiliano ulikuwa mkubwa sana, lkn mpaka, leo waafrika wanadunda
Na haya ndio mawazo ya watawala wetu, nahisi wewe unaweza kuwa moja ya washauri wao!!
Ni lazima tuache ujinga na siasa kwenye mambo serious, nikiangalia yaliyotokea china na yanayotokea itally na USA tukiendeleza mwazo ya kijinga hakuna rangi tutaacha ona!!
Hakuna ki
Hakuna kitu hapo mkuu, corona haimpati mtu kiurahisi kama unavyo dhani hebu acha kutishia watu piga kazi. Hivi unaifahamu corona mkuu au unasimuliwa tu. Hapo walio tabiri hivyo ndio walio sema US itapanda kiuchumi lkn ikawa vise versa
Ukitaka jifungue ndani alafu utakula mawe, hivi kenya wao wamefanikiwa na hiyo dhana yao, yaani wewe unataka uwaige china wenye uchumi imara nchi yetu inaendeshwa kwa kodiMkuu inasikitisha sana. Tunaelekea shimoni tukijiona. Washauri wakiendekeza njaa za matumbo yao kwa kukumbatia siasa uchwara, hali ya hatari ni dhahiri mno na wala haiko mbali:
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm! - JamiiForums
Hiyo ni sawa na hii, iliyo tabiriwa kipindi corona inaanzaMkuu inasikitisha sana. Tunaelekea shimoni tukijiona. Washauri wakiendekeza njaa za matumbo yao kwa kukumbatia siasa uchwara, hali ya hatari ni dhahiri mno na wala haiko mbali:
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm! - JamiiForums
We jamaa acha, kutishia watu piga kazi, acha kutia watu hofuNiliandika uzi hapa kwa nia njema kabisa two days ago title:
"Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown in April".
Pamoja na maudhui yake kutokuwa tofauti sana na maudhui yaliyopo kwenye uzi huu hapa chini, 'mods' mliufuta:
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm! - JamiiForums
No ill feelings.
Tunaamini jukwaa hili ni huru kuliko tunavyojaribu kuaminishwa kwa nguvu nyingi za misuli (badala ya nguvu za hoja) kuwa:
1. Taarifa na takwimu za ugonjwa huu zinazotolewa ni za wakati husika, huru, halisi na sahihi.
2. Nk nk
MODs uangalieni tena uzi ule kwa bahati mbaya yaonekana hamku uelewa mantiki yake - jambo la kheri tu.
E
Ukitaka jifungue ndani alafu utakula mawe, hivi kenya wao wamefanikiwa na hiyo dhana yao, yaani wewe unataka uwaige china wenye uchumi imara nchi yetu inaendeshwa kwa kodi
Huyo dereva ulimpima wewe?Mkuu usihadaishwe na taarifa za kupikwa.
Kagera kuna dereva wa lori toka Burundi impounded in Tanzania ana Corona. Kaipata wapi kama si Burundi wanakosema hawana corona?
Hizi taarifa nani yupo kuzi verify?
Uliwahi kusikia matango pori hulishwa?
Huyo dereva ulimpima wewe?
Sio kila anachokifanya mzungu basi na ww unafanya,hebu kabla ya kufanya chochote angalia maisha ya watu wako.Niliandika uzi hapa kwa nia njema kabisa two days ago title:
"Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown in April".
Pamoja na maudhui yake kutokuwa tofauti sana na maudhui yaliyopo kwenye uzi huu hapa chini, 'mods' mliufuta:
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm! - JamiiForums
No ill feelings.
Tunaamini jukwaa hili ni huru kuliko tunavyojaribu kuaminishwa kwa nguvu nyingi za misuli (badala ya nguvu za hoja) kuwa:
1. Taarifa na takwimu za ugonjwa huu zinazotolewa ni za wakati husika, huru, halisi na sahihi.
2. Nk nk
MODs uangalieni tena uzi ule kwa bahati mbaya yaonekana hamkuuelewa mantiki yake ambao pia, ni jambo la kheri tu.
Tunasubiri hiyo AprilNiliandika uzi hapa kwa nia njema kabisa two days ago title:
"Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown in April".
Pamoja na maudhui yake kutokuwa tofauti sana na maudhui yaliyopo kwenye uzi huu hapa chini, 'mods' mliufuta:
Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm! - JamiiForums
No ill feelings.
Tunaamini jukwaa hili ni huru kuliko tunavyojaribu kuaminishwa kwa nguvu nyingi za misuli (badala ya nguvu za hoja) kuwa:
1. Taarifa na takwimu za ugonjwa huu zinazotolewa ni za wakati husika, huru, halisi na sahihi.
2. Nk nk
MODs uangalieni tena uzi ule kwa bahati mbaya yaonekana hamkuuelewa mantiki yake ambao pia, ni jambo la kheri tu.
13 tuYani wewe upo na corona tu.[emoji16][emoji16]..
Yaani namba inavyosoma kidogo kidogo hapa Tanzania roho inakukereketa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila anachokifanya mzungu basi na ww unafanya,hebu kabla ya kufanya chochote angalia maisha ya watu wako.
Tanzania na nchi nyingi za Africa wananchi walio wengi zaidi ya 70% ni kama deiwaka hawana kipato kile cha uhakika maisha yenyewe ya kuunga unga wanaishi kwa msaada wa mkopo kutoka kiduka cha Mangi,wapo kwenye kila ukurasa wa daftari la Mangi,sasa pata picha unawaambia "total lockdown" ,bila shaka utawaua kwa njaa tu.
Kenya ,Uganda na India wameingia total Lockdown lkn wananchi walio wengi wamekataa sababu hata wakikaa ndani pia watakufa na njaa.
Alafu unajisikia vibaya Tanzania kutokuwa na waathirika wengi wa Corona mpaka sasa?
Tunasubiri hiyo April
Hivi njaa unaijua wewe? Yaani kumbe na ww unafuatiliaga maigizo ya wanasiasa ,yaani unafanya comparison ya real na fake,usilinganishe siasa na maisha ya watu.Mkuu mbona hili limejadiliwa sana?
Hakuna atakaye kufa njaa. Ziko njia nyingi kuzuia njaa kuliko Corona.
Njia mojawapo ni pamoja na michango ya wasamaria wema. Mbona kina Mashinji, Msigwa na wenzi wao 350,000,000/= zilipatikana katika siku 3 tu?
Uzima ni muhimu zaidi.
Tuwe tayari kushindia hata uji kuiunga mkono serikali kusaidiana nasi kuutokomeza huu ugonjwa.