South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi.

Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa.

Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai.

Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta kwenye jokofu.

Mtu anaweza kukuchukia tu au mkapishana naye.We unajua yamekwisha kumbe anakuja kukupa upako wa mwamposa.

Maisha ya huku uwezi kumuogopa mungu siku ya kikutokea maana watu wameshindikana.

kila aina za dhambi na usichokiona utakiona.
 
Huko ndio makao makuu ya uhalifu kusini mwa Africa.
 
Back
Top Bottom