Tanzania iko SADC lakini unapata wanatandikwa huko sawa sawa Hadi wengine kufa(sadly) RIP.
Sijasikia such for Kenyans na sababu ni Hii; Kenyans are mostly in the business sector, white collar jobs and students lakini kina joto la jiwe wanazungusha pipi huko na kuchimba migodi competing directly with the holoi poloi of SA ndio maana kichapo lazima itembee.
Maskini was South Africa hajui "kukombolewa'' ni nini alafu Tena Watanzania wengi South Africa walikwenda huko kwa safari ya siku nyingi miguu wakivuka mipaka ya Zambia na Zimbabwe wakitafuta unskilled labor opportunities. Wakenya hata wanakoishi ni in splush suburbs tofauti na Watanzania walioko slums za SA .
joto la jiwe nionyeshe Wakenya ambao wamepigwa huko SA nihame JF.[emoji6][emoji6]