Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya mizigo aina ya IL-76, ilitoka kwenye kambi ya jeshi la anga Pretoria kuelekea Lubumbashi, na kufanya safari tano kati ya tarehe 30 Januari na tarehe 7 Februari, 2025.

Mbunge Chris Hattingh wa Afrika kusini, alisema wanajeshi waliopelekwa, ni kati ya 700 na 800.

Kuna wanajeshi wa Afrika kusini waliopo chini ya ulinzi wa M23 huko Goma.

Waziri wa mambo ya nje wa Afrika kusini, alipinga mawazo ya bunge, kurudisha wanajeshi hao, na kusema kuna umuhimu wa kuongeza nguvu, na watarudi tu amani itakapopatikana nchini humo.

Pia soma: Rais wa Malawi amuagiza kamanda wa jeshi la nchi hiyo kujiandaa kuondoa wanajeshi wake mashariki mwa DRC

Wakati huo, katika ziara ya raisi wa DRC, Felix Tshisekedi nchini Tchad, aliomba msaada wa kijeshi, na serikali hiyo imetangaza kwamba, kwa muda wa wiki mbili kuanzia sasa, wanajeshi kutoka Chad, watawasiri nchini DRC kwa msaada wa kijeshi.

Inaelekea, vita vinaenda kuanza upya
 
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya mizigo aina ya IL-76, ilitoka kwenye kambi ya jeshi la anga Pretoria kuelekea Lubumbashi, na kufanya safari tano kati ya tarehe 30 Januari na tarehe 7 Februari, 2025.
Mbunge Chris Hattingh wa Afrika kusini, alisema wanajeshi waliopelekwa, ni kati ya 700 na 800.

Kuna wanajeshi wa Afrika kusini waliopo chini ya ulinzi wa M23 huko Goma.
Waziri wa mambo ya nje wa Afrika kusini, alipinga mawazo ya bunge,kurudisha wanajeshi hao, na kusema kuna umuhimu wa kuongeza nguvu, na watarudi tu amani itakapopatikana nchini humo.

Ukweli ni kwamba (ukweli ambao hata Samia huenda anaujua) hiyo vita ilishapangwa, na huenda itasambaa sehemu kubwa sana katika ukanda huu wa maziwa makuu.
Habari za uhakika kabisa (99%) nyuma ya hiyo vita yupo USA, France, Polland, Russia, UK, China.

Tuliza mzuka.
Utashuhudia mengi mnoo ya kukushangaza.
 
Na mimi niko bench kama nyie wote, naleta hapa tu nayoyaona.Yajayo bado siyajui. Ila kinachoonekana, kuna watu wanatafutana. Na hapo ndo wanaenda kuwekana sawa. Kikubwa tu lazima kuna mmoja ataumia zaidi.
 
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya mizigo aina ya IL-76, ilitoka kwenye kambi ya jeshi la anga Pretoria kuelekea Lubumbashi, na kufanya safari tano kati ya tarehe 30 Januari na tarehe 7 Februari, 2025.
Mbunge Chris Hattingh wa Afrika kusini, alisema wanajeshi waliopelekwa, ni kati ya 700 na 800.

Kuna wanajeshi wa Afrika kusini waliopo chini ya ulinzi wa M23 huko Goma.
Waziri wa mambo ya nje wa Afrika kusini, alipinga mawazo ya bunge,kurudisha wanajeshi hao, na kusema kuna umuhimu wa kuongeza nguvu, na watarudi tu amani itakapopatikana nchini humo.

Wakati huo, katika ziara ya raisi wa DRC, Felix Tshisekedi nchini Tchad, aliomba msaada wa kijeshi, na serikali hiyo imetangaza kwamba, kwa muda wa wiki mbili kuanzia sasa, wanajeshi kutoka Chad, watawasiri nchini DRC kwa msaada wa kijeshi.

Inaelekea, vita vinaenda kuanza upya
Sio tetesi ni habari kamili
 
M23 wana 7000 strong na wanaweza kurecruit wengine 4000 ndani wiki moja hii inaenda kuwa Vietnam ya South Africa.
 
Ukweli ni kwamba (ukweli ambao hata Samia huenda anaujua) hiyo vita ilishapangwa, na huenda itasambaa sehemu kubwa sana katika ukanda huu wa maziwa makuu.
Habari za uhakika kabisa (99%) nyuma ya hiyo vita yupo USA, France, Polland, Russia, UK, China.

Tuliza mzuka.
Utashuhudia mengi mnoo ya kukushangaza.
Wacha kiwake...
 
Back
Top Bottom