South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos, proceedings halted - SABC News - Breaking news, special reports, world, business, sport coverage of all South African current events. Africa's news leader. https://t.co/vPVWk9H7uK

20220501_205351.jpg
 
Hakuna mtumishi asiye na akili Kama mleta mada.

Kina Mbowe wanajadili kila siku na Rais ili wapate MASLAHI yao, kinachowashangaza Ni Nini kwa Watumishi na wao kujadili na Mwajiri wao ili wapate MASLAHI yao?

Huyo Lissu mbona alikutana na Samoa akaanza kumuomba MASLAHI yake, kwanini hakufanya fujo na kulazimisha?
 
Tangu lini waalimu na wenzao wakawa na msimamo?
Wao wanachojua ni kuimba haki yao kwa kupiga magoti basi
 
Eti japokuwa kuna vita ya urusi na ukreine lkn tunaomba utufukirie🤣🤣🤣🤣

Yani nilicheka sana.
Mishahara ni haki ya mfanyakazi,inaonekana viongozi wao waliitwa Ikulu maana kila kiongozi aliyesimama kuongea alikuwa anasifia tu
 
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
https://t.co/NV3PZAtNVR https://t.co/vPVWk9H7uK

View attachment 2207822
View attachment 2207817
Kwa hiyo mleta mada ulitaka na Tanzania wafanyakazi wagome au wafanye fujo?

Kwa hiyo upinzani Tanzania mlitaka hii iwe turufu yenu kisiasa?

Hivi maslahi ya mkulima na mwanakijiji nani huwa anayajali au kuyaongelea,tofauti na kipindi cha Kampeni za uchaguzi.
 
Huku Tanzania TUCTA NI Tawi la CCM
Movie inaanzia hapo... inaendelea unakuta wafanyakazi wengi hata hawajitambui... katikati unakuta wote wanafanyakazi lakini mikakati wanapangiwa na wanasiasa!!
 
Mkulima yupi? Hapa bongo wakulima wa biashara walioajiri watu ni wachache. Hao wanaolima vijijini CCM yenu iwasaidie maana wanalima kwa ajili ya chakula.

Mimi sijasema wagome nimeleta taarifa kilichotokea South Afrika. Na kilichotokea hapa Tz.
Ndiyo kwanza walipewa korosho zao
 
Hapa bongo katibu wa tucta ngugu Yahaya Mgaya alikuwa anamlamba miguu mhe rais badala ya kumfokea.
 
Hakuna mtumishi asiye na akili Kama mleta mada.

Kina Mbowe wanajadili kila siku na Rais ili wapate MASLAHI yao, kinachowashangaza Ni Nini kwa Watumishi na wao kujadili na Mwajiri wao ili wapate MASLAHI yao?

Huyo Lissu mbona alikutana na Samoa akaanza kumuomba MASLAHI yake, kwanini hakufanya fujo na kulazimisha?
Mbowe na Lissu wanahusika vipi na nyongeza ya mishahara?!!!
 
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos, proceedings halted - SABC News - Breaking news, special reports, world, business, sport coverage of all South African current events. Africa's news leader. https://t.co/vPVWk9H7uK

View attachment 2207822
View attachment 2207817

Hawa ndiyo watu huru na makini kwa kupeleka ujumbe kwa mkuu wa nchi .

Wanadai pia maendeleo ya watu maana maendeleo ya vitu kama madaraja na miundo mbinu kupitia kodi zao wanayaona ila ni kichaka cha rushwa na kisingizio cha serikali kukosa kujali Maendeleo ya Watu

Zingiswa Losi kiongozi wa vyama vya wafanyakazi COSATU amesema hali hii ya leo no vizuri imetokea kwani ujumbe umewafikia viongozi wa serikali maana wao kama trade union wamekuwa wakipiga kelele kuhusu kupandishiwa mishahara lakini serikali imekuwa ikitoa visingizio vingi ili wafanyakazi wasibandishiwe mishahara na mbaya zaidi hata ktk hotuba zao viongozi wa serikali hawazungimzii ugumu wa maisha ya wafanyakazi wala kutamka mikakati ya kuwaboreshea wafanyakazi maisha yao.
 
Back
Top Bottom