South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

SHEREHE ZA MEI DEI AFRIKA YA KUSINI, WAFANYAKAZI WALAANI AHADI HEWA ZA SERIKALI YA ANC

Wafanyakazi walitegemea chama tawala kongwe ANC kingeonesha mshikamano kwa kutoa hotuba kuwasapoti wafanyakazi , lakini nacho kupitia serikali inayoiongoza kimekuwa kikitoa mlolongo wa ahadi hewa




Ramaphosa was rejected by the workers and as the mood became uglier, police were forced to intervene while the statesman’s bodyguard quickly ushered him out of the Royal Bafokeng Stadium where the event was meant to take place.

The National Union of Mineworkers (NUM) and the Association of Mineworkers and Construction Union (Amcu) – the two biggest mine unions in South Africa – have demanded a pay increase of R1 000 per month over the next three years, similar to the amount Sibanye’s rival Harmony Gold agreed to pay its workers last year.

Sibanye’s chief executive Neal Froneman said the company would not be revising its final offer, as it could not sustain higher wage increases.

The workers have been on strike for the past few weeks and brought their demands to the Workers’ Day rally, where Ramaphosa was supposed to address them.

This could be the first in Ramaphosa’s presidency where he has been forced to abandon addressing this historic event. The May Day rally is an important event in the Tripartite Alliance calendar.

President of the Congress of South African Trade Unions (Cosatu) Zingiswa Losi attempted to address the disruptive workers, calling for them to remain calm to give the ANC President a chance to address them.

When the angry workers refused to yield, Ramaphosa himself walked into the stadium grounds to address them

“You want your R1 000, I understand that… We have heard that message and we will be dealing with that matter,” Ramaphosa told the workers.

In an effort to pacify them, he promised to speak to those in power regarding their demands.

But tensions rose further and Ramaphosa was ushered out of the stadium.

A Cosatu member then took the microphone and called for workers to remain calm.

“Comrades, this is your day. Don’t disrupt it. Don’t invite something you don’t want. We don’t want anyone to go to hospital today,” the Cosatu member said.
 
Hakuna mtumishi asiye na akili Kama mleta mada.

Kina Mbowe wanajadili kila siku na Rais ili wapate MASLAHI yao, kinachowashangaza Ni Nini kwa Watumishi na wao kujadili na Mwajiri wao ili wapate MASLAHI yao?

Huyo Lissu mbona alikutana na Samoa akaanza kumuomba MASLAHI yake, kwanini hakufanya fujo na kulazimisha?

Tafadhali punguza kutafsiri kila Jambo kisiasa. Lissu na Mbowe wameingiaje kwenye Mambo ya wafanyakazi?. Yani kila baya unataka kuwarushia chadema wakati hawana bajeti wala serikali.
 
Kwa hiyo mleta mada ulitaka na Tanzania wafanyakazi wagome au wafanye fujo?

Kwa hiyo upinzani Tanzania mlitaka hii iwe turufu yenu kisiasa?

Hivi maslahi ya mkulima na mwanakijiji nani huwa anayajali au kuyaongelea,tofauti na kipindi cha Kampeni za uchaguzi.

Mleta mada Ni Mwana CCM. Acha kujificha kwenye mgongo wa Upinzani. Maana nyie kila lawama mnataka kuitupia Upinzani wenye serikali mnawalamba miguu na kuwatetemekea.
 
Back
Top Bottom