Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Viongozi wa TUCTA walikuwa wanalamba miguu ya samia,muda wa katiba ni sasa😄😃😃 Walamba Miguu Wa Ccm
Ni TUCTA
Eti japokuwa kuna vita ya urusi na ukreine lkn tunaomba utufukirie🤣🤣🤣🤣Huku Tanzania TUCTA NI Tawi la CCM
Mishahara ni haki ya mfanyakazi,inaonekana viongozi wao waliitwa Ikulu maana kila kiongozi aliyesimama kuongea alikuwa anasifia tuEti japokuwa kuna vita ya urusi na ukreine lkn tunaomba utufukirie🤣🤣🤣🤣
Yani nilicheka sana.
Kwa hiyo mleta mada ulitaka na Tanzania wafanyakazi wagome au wafanye fujo?ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
https://t.co/NV3PZAtNVR https://t.co/vPVWk9H7uK
View attachment 2207822
View attachment 2207817
Movie inaanzia hapo... inaendelea unakuta wafanyakazi wengi hata hawajitambui... katikati unakuta wote wanafanyakazi lakini mikakati wanapangiwa na wanasiasa!!Huku Tanzania TUCTA NI Tawi la CCM
Issue Job Ndungai(Mb) ni ya hivi majuZi tu!Mishahara ni haki ya mfanyakazi,inaonekana viongozi wao waliitwa Ikulu maana kila kiongozi aliyesimama kuongea alikuwa anasifia tu
TISSHuku Tanzania TUCTA NI Tawi la CCM
Ndiyo kwanza walipewa korosho zaoMkulima yupi? Hapa bongo wakulima wa biashara walioajiri watu ni wachache. Hao wanaolima vijijini CCM yenu iwasaidie maana wanalima kwa ajili ya chakula.
Mimi sijasema wagome nimeleta taarifa kilichotokea South Afrika. Na kilichotokea hapa Tz.
Mbowe na Lissu wanahusika vipi na nyongeza ya mishahara?!!!Hakuna mtumishi asiye na akili Kama mleta mada.
Kina Mbowe wanajadili kila siku na Rais ili wapate MASLAHI yao, kinachowashangaza Ni Nini kwa Watumishi na wao kujadili na Mwajiri wao ili wapate MASLAHI yao?
Huyo Lissu mbona alikutana na Samoa akaanza kumuomba MASLAHI yake, kwanini hakufanya fujo na kulazimisha?
Asipo nyonya hiyo miguu atapata wapi ugali?!Hapa bongo katibu wa tucta ngugu Yahaya Mgaya alikuwa anamlamba miguu mhe rais badala ya kumfokea.
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos, proceedings halted - SABC News - Breaking news, special reports, world, business, sport coverage of all South African current events. Africa's news leader. https://t.co/vPVWk9H7uK
View attachment 2207822
View attachment 2207817