Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
hahahaaaa!! aaah wapi! mi nafanya kazi masaa 72 bila kusimama!Heeeee kila idara nipo ndio kazi yangu kuchangia kila thread natafuta umaarufu kwa nguvu zotee hahhhhahhhahhha nasikia ulikimbia na boxer hahhha
umenisahau mimi tena, wewe wangu wa ubani hapo kitambo kidogo
Niacheni kwanza nidili na mchakato wa katiba.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Grammatical error? Zipi? hiyo moja la pili mbona wengi tu hawafuati gramma iwe kiingereza iwe Kiswahili? Maana iwapo kuna error ni ndogo haiondoi uzito wala maana ya statement concentrate kwenye message hakuna usahihishaji wa mitihani hapa
Vipi Tanganyika yetu tunaipata?
Mmmmhh ntamuuliza missneddy kama ni kweliii
Taratibu baby ..hapa ni mtakuja njoo utulie unanijua
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?
Niacheni kwanza nidili na mchakato wa katiba.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
hivi kwanini uliachana na mimi wakati bado TUNAPENDANA?
Pole sana kwa kunifananisha wengine huwa wananiita Masanilo.
Nimependa kingereza chako na shukrani nyingi ziwafikie mods kwa kazi nzuri ya watu wa kifungoni maana ni full englisiiii!!!
Hahhhhahha akikujibu Gogle utaumwaa mwache tu alale hahhha
Hahhhhahha akikujibu Gogle utaumwaa mwache tu alale hahhha
Daah mkuu nikikuonaga tuu nakumbuka kijijini kwetu kule chini kabisa gamboshi mlikonifukuza kwa mapanga......
Nimewamiss mno ndugu zangu wa kule...
Pole sana kwa kunifanisha wengine huwa wananiita Masanilo.
Hahhhahhha aisee mbona humu leo ni kachumbariiii
Kachumbari ina raha yake kwenye pilau