Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Heeeee kila idara nipo ndio kazi yangu kuchangia kila thread natafuta umaarufu kwa nguvu zotee hahhhhahhhahhha nasikia ulikimbia na boxer hahhha
hahahaaaa!! aaah wapi! mi nafanya kazi masaa 72 bila kusimama!

njoo nikupe kidogo!
 
Grammatical error? Zipi? hiyo moja la pili mbona wengi tu hawafuati gramma iwe kiingereza iwe Kiswahili? Maana iwapo kuna error ni ndogo haiondoi uzito wala maana ya statement concentrate kwenye message hakuna usahihishaji wa mitihani hapa



Kuna tofauti kubwa ya matumizi kati ya **your*** na **you are *** naona kwa ufahamu wako finyu hujagundua lolote ndio maana ukasema namuonea donge...

kuhusu kuelewa hapo ndo huaribiwa na hayo makosa maana maneno yakitumika visivyo huleta maana tofauti au hujui?

You are too low!!
 
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?

Nimependa kingereza chako na shukrani nyingi ziwafikie mods kwa kazi nzuri ya watu wa kifungoni maana ni full englisiiii!!!
 
Daah mkuu nikikuonaga tuu nakumbuka kijijini kwetu kule chini kabisa gamboshi mlikonifukuza kwa mapanga......

Nimewamiss mno ndugu zangu wa kule...

kijijini sikuwa nimefika muda mrefu.........

nilikuwa busy kutafuta paspoti m nimepata tetesi za kukanwa na ccm.
 
Pole sana kwa kunifanisha wengine huwa wananiita Masanilo.


Mbona una jump to conclusion? nani kakufananisha nao? mi nimekuomba uwafikishie salamu mkuu acha kujishuku dhambiiiii....

kwa mara nyingine labda hukunielewa msalimie matola na billionaire pitgan
 
Back
Top Bottom