Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
hahahaaaa!! aaah wapi! mi nafanya kazi masaa 72 bila kusimama!Heeeee kila idara nipo ndio kazi yangu kuchangia kila thread natafuta umaarufu kwa nguvu zotee hahhhhahhhahhha nasikia ulikimbia na boxer hahhha
njoo nikupe kidogo!