Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahahah njoo siasani
Kuna ninii huko yaan we kule hatujuaaniii hahhhagmhahhhhahhha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah njoo siasani
Kuna ninii huko yaan we kule hatujuaaniii hahhhagmhahhhhahhha
Hahaha nauona moto wako cheza kwa stepu kifungo cha miezi sita kule njenje
Aaaaaaaa nakuja taratibuuu kabisaaa wala sitawasha moto nakuambiaa atakaenitukana simjibuuuu ,maana Diaspora na serikali tatu watakosa wa kuwateteaaa
Na hapo mi na wewe tupo njia tofautii
Diaspora siwagusi siku hizi wanahasira na Mimi acha tu nimewapa break
Teh teh teh
Ha ha ha ha we mfukunyuku aisee nimekumbuka mbali sana
Ngoja nijikumbushe aisee.
Wewe kipindi hiko hukuwepo eti ndio maana nimekuitaa
Ndio mpenzi bora nijue ligi zilikuwaga vipi huku kipindi hicho...
Ha ha ha ha
Zamani tulikuaga na tugrouo huto hhhaaa yaan tunaweza anzisha uchokoz tu ili mtu alambwe ban basi sisi kwetu burudaniii
Nilikuwepo bwana ila si unajua ugeni tena? Hahahahaaa hicho kigroup kungekuwepo sasa mbona tungekoma?
Yaan akichokozwaa mmoj tunajiita woteee mbona utaipata hhhhhaaaa
Nikikumbukaa lile sekesekeee loooo hua mbavu sinaa
Mambo ya multiple ID's ....
Huu uzi nakumbuka watu walipishana karibia kila siku...
Yaan akichokozwaa mmoj tunajiita woteee mbona utaipata hhhhhaaaa
Siku izi ata hawanichokozi,nime miss zile ban za mara nne kwa wiki