Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Hahaha nauona moto wako cheza kwa stepu kifungo cha miezi sita kule njenje

Aaaaaaaa nakuja taratibuuu kabisaaa wala sitawasha moto nakuambiaa atakaenitukana simjibuuuu ,maana Diaspora na serikali tatu watakosa wa kuwateteaaa
Na hapo mi na wewe tupo njia tofautii
 
Aaaaaaaa nakuja taratibuuu kabisaaa wala sitawasha moto nakuambiaa atakaenitukana simjibuuuu ,maana Diaspora na serikali tatu watakosa wa kuwateteaaa
Na hapo mi na wewe tupo njia tofautii

Diaspora siwagusi siku hizi wanahasira na Mimi acha tu nimewapa break

Teh teh teh
 
Ngoja nijikumbushe aisee.

Wewe kipindi hiko hukuwepo eti ndio maana nimekuitaa
Ni hivi huyo spartakas nilikutana nae kwenye uzi mmoja hivi weee akanichokonoa nami nikampandishiaaa tukatukanana weeee kwenye huo uzii,sasa lusungo na excel wakaja kunisaidiaaa si wakawahi kumreport akalambwa ban ,sasa siku alipofunguliwa tu ndio akaanzisha huu uzi na kutuita ,,, Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Ndio mpenzi bora nijue ligi zilikuwaga vipi huku kipindi hicho...
Ha ha ha ha

Zamani tulikuaga na tugrouo huto hhhaaa yaan tunaweza anzisha uchokoz tu ili mtu alambwe ban basi sisi kwetu burudaniii
 
Zamani tulikuaga na tugrouo huto hhhaaa yaan tunaweza anzisha uchokoz tu ili mtu alambwe ban basi sisi kwetu burudaniii

Nilikuwepo bwana ila si unajua ugeni tena? Hahahahaaa hicho kigroup kungekuwepo sasa mbona tungekoma?
 
Mambo ya multiple ID's ....

Huu uzi nakumbuka watu walibishana karibia kila siku...
 
Back
Top Bottom