Speaker Job Ndugai ni Presidential material 2025

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
 
FB_IMG_1640190672889.jpg
 
Yewomiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhh!!!!!
 
Nitahamia burundi
Umri unaruhusu? Kikatiba mtu mwenye wadhifa kama wake inakuwaje pale anapo stafu na kutaka kuwania uraisi? Huna haja ya kuhamia bujumbura wakati probability ya yeye kuwa raisi ni 1/275
 
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
Ikiwa vijana wenyewe wa Tanzania wanawaza kijinga namna hii, basi taifa lina safari ndefu
 
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
Sukuma gang wahed wewe
 
Kwanza kakatwa vidole vya miguu sababu ya diabetes, pili anaishi na VVU. Sijui kama hata hiyo 2025 ataiona
 
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
Huyu? Bwana uturehemu!
 
Hafai hata kidogo......na asijaribu kuota huo urais....analipa watu mshahara ambao siyo wabunge....ikulu ni mahali patakatifu....panatakiwa mtu ambaye hana mawaa msafi na mwenye kuheshimu KTS......

Naelekea Yerusalemu .........ambapo hakuna mikorosho....
 
Nawashangaa watoto wanaoota eti Blai Ndugai anafaa kwa Urais
yeye keshajiwekea KINGA lakini itafumuliwa na Uhujumu uchumi wake wote utaonekana
wengine eti Hum Polepole
 
Back
Top Bottom