Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Mama D we mwombee tu,kwa mm hapana...Samia Suluhu Hassan bado ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa miaka mingine minne(4) ijayo, tena iliyojaa na kusukwasukwa.
Hivi tunavyomlaani, tunamlaumu na kumtakia mabaya tunajichelewesha sisi wenyewe.
Tumsaidie Rais pale tunapoweza kwa nafasi zetu na utanzania wetu
Pia tumuombee sana yeye na taifa letu kwa imani zetu kwa ujumla ili Mungu ampe ndoto na maono ya kutupeleka mbele. Amzidishie afya na hekima ya kutuongoza kwa yale yote tunayotamani
Sio rahisi wangu.