Special for AshaDii, Gfsonwin, Nivea, Highlander, Mistery,Mwita Maranya,Smile,na wengine........

Special for AshaDii, Gfsonwin, Nivea, Highlander, Mistery,Mwita Maranya,Smile,na wengine........

Thanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
596
Kwa JF members wote....

Nimefurahi sana kwa JF members wote tuliowasiliana kwa njia ya simu, email, na kwa mtandaoni humu JF. Nilifurahi sana kwa wale waliotupigia simu na kututakia maisha mema popote tulipo.Kwa uchche sana, AshaDii, gfsonwin, nivea, Highlander mistery, Mwita Maranya, Smile na wengine wengi tuko pamoja.Ushirikiano wenu ni mkubwa cana mmetuonyesha tangu tuliingia humu JF. Mawazo yenu yamekuwa msaada wa kuimarisha kwa namna moja hdi nyingine maisha yetu ya familia. Na kwa wale wachache cana ambao mlishindwa kutuelewa mtusamehe. Kwa mnaojua sauti zetu mtakuwa na amani na uhakika wa mambo, hata wale tulioongea bila kuonana mna ushahidi kuwa "hawa ni watu hai kama sisi.....muwe na amani tujenge nchi yetu. England kwa siku chache za nyuma tuliona machafuko huko yaliyounganishwa kwa njia ya mtandao kama huu wa jamii na kufanikiwa kuleta solidarity ya watu.

JF vile vile imeleta solidarity ya watu kuwa kama mtu mmoja. Ndio maana tunapanga kuonana kule Dar Es Salaam ili tujuane.

Asante cana wakuu tuendelee kuwa wamoja.
 
Last edited by a moderator:
Ah,sasa hii topic ambayo ina eleweka kwa wachache ni bora unge watumia PM
kuwashukuru,kama unataka kila mtu asome na aelewe basi andika what happened,what was done
and what you are thanking people for.
 
Twazipokea kwa mikono miwili bila Husda wala Choyo,
Asante na Mungu akuongezee Kheri kila wakati.
 
Ah,sasa hii topic ambayo ina eleweka kwa wachache ni bora unge watumia PM
kuwashukuru,kama unataka kila mtu asome na aelewe basi andika what happened,what was done
and what you are thanking people for.

Hata mimi ameniacha Kinondoni!
 
Kwa nini usingewatumia PM mkuu, maana naona ni wachache tu hao atii..
 
mgewasiliana wenyewe tu maana si wengine hata hatujui nini kinaendelea hapo...au la mtujuze what happaned...simu, emails...?????!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom