Special for AshaDii, Gfsonwin, Nivea, Highlander, Mistery,Mwita Maranya,Smile,na wengine........

Special for AshaDii, Gfsonwin, Nivea, Highlander, Mistery,Mwita Maranya,Smile,na wengine........

Slip of keyboard....u can always mistake she to he.....:madgrin:...in an extreme case Japan is in Africa...East Africa to be precise!

Ok, tanzania ni muunganiko wa Mulugo na Nchemba.
 
Tuko pamoja shemaji Thanda. Mwambie dada yangu Thando kwamba wadau wana hamu ya kuiona pair yenu siku ya White party. Msithubutu kabisa kutaka kukosa tukio hilo...
 
Last edited by a moderator:
Kwa JF members wote....

Nimefurahi sana kwa JF members wote tuliowasiliana kwa njia ya simu, email, na kwa mtandaoni humu JF. Nilifurahi sana kwa wale waliotupigia simu na kututakia maisha mema popote tulipo.Kwa uchche sana, AshaDii, gfsonwin, nivea, Highlander mistery, Mwita Maranya, Smile na wengine wengi tuko pamoja.Ushirikiano wenu ni mkubwa cana mmetuonyesha tangu tuliingia humu JF. Mawazo yenu yamekuwa msaada wa kuimarisha kwa namna moja hdi nyingine maisha yetu ya familia. Na kwa wale wachache cana ambao mlishindwa kutuelewa mtusamehe. Kwa mnaojua sauti zetu mtakuwa na amani na uhakika wa mambo, hata wale tulioongea bila kuonana mna ushahidi kuwa "hawa ni watu hai kama sisi.....muwe na amani tujenge nchi yetu. England kwa siku chache za nyuma tuliona machafuko huko yaliyounganishwa kwa njia ya mtandao kama huu wa jamii na kufanikiwa kuleta solidarity ya watu.

JF vile vile imeleta solidarity ya watu kuwa kama mtu mmoja. Ndio maana tunapanga kuonana kule Dar Es Salaam ili tujuane.

Asante cana wakuu tuendelee kuwa wamoja.


Pamoja daima mkuu!
 
Back
Top Bottom