Special Romantic Moments......

uchokozi huo MJ1...unajua kabisa 'mashetani' mengine hayapendi maeneo hayo!

Hata hayo mashetani safari hii yatasalimu amri, lazima kiti wao afurahie japo mara moja moja
 
wachana bana na hiyo wakati naonaga jaribu kusema wapi maneno hayatoki.....shukrani za dhati zimwendee mj1 kwa kuniletea darasa zuri.
aiseee<br />
<br />
umeonaga eh?
<br />
<br />
 
Nipo asee, nimefufuka mzima wewe?

Ngoja nikatafute msaada wa mwanasheria,

Naamini ugomvi ukianza lazima watu kufanya postmortem ndio watakaotuokoa!!

Mzima lakini???.....Hebu basi semaga na wewe!!
 
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.

Acha uongo wewe, hata siku ya kwanza wakati anakutongoza hakuwa romantic?
 
Mbu na MwanajamiiOne hivi mnajua nyinyi mkiandika kitabu cha malovee mtauza sana? Mmewahi fikiria hilo?

I can connect the dots....Mbu na MJ1 walipotea hapa jukwaani kwa kipindi fulani, na wamerudi pamoja...MwanajamiiOne anashindwa kuelezea furaha yake aliyopewa na mwandani wake kwa siku tatu mfululizo. Ili hali Mbu analeta ushahidi wa picha wa kule alikompeleka barafu wa moyo wake.

Hebu twawaomba wafunguke! Mbu ulimpeleka MwanajamiiOne Ngorongoro?
 

Lol.............naona kuna haja ya mimi na Mbu kukutana faragha! Naamini haitakuwa busara kuachia hizi baraka zikapotea hivi hivi.
Mbu laaziz (Soulmate niwie radhi imenibidi) njoo huku PM tuzungumze!
 
hongera sana mwanajamiione kwa thread maridhawa....!nimekumbuka mambo mengi kwa kweli.

lakin pia shukrani za pekee zimwendee mbu...'dear the blood donor....forget the pain,i sing for you...' kwa picha nzuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…