Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Maty mzima wewe? I cant wait to see you mydia!
Savoi hapaendeki safari hii?!
Hunizidi mimi mamito, maana nilikua nimelala hoi baada ya hii sredi nimepata nguvu ghafla maana umenikumbusha mbali asee lol. Nakwambia mpaka biya itapita kooni itake isitake naona siku haziendi