Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

hapo red: Mimi hii sredi tangu mwanzo niliichukulia kama ya kuwapongeza MJ1 na Mbu tu, kwa masweet memories yao ya ngorongoro.

Hapo buluu: acha nikachekee kwa jirani aisee

Haya bwana CQ,

Hebu basi achana na hli li-thread ambalo mwenye nalo kalifunga prematurely...Sijuia anakimbia nini??

Nenda kwenye ile ingine utueleze huwa una disclose asilimia ngapi?? au wewe uko kwenye 0% disclosure!!
 
trip za mbugani zitapanda chati mwaka huu
from jf lovers tourists....lol

Kweli mkuu...itabidi huyu waziri wa ofisi ya kuuza twiga aje huku JF (tena MMU) kutembeza promotions!!

Naamini Mbu atajitolea kuwa JF coordinator wa mambo ya utalii!!
 
Haya bwana CQ,

Hebu basi achana na hli li-thread ambalo mwenye nalo kalifunga prematurely...Sijuia anakimbia nini??

Nenda kwenye ile ingine utueleze huwa una disclose asilimia ngapi?? au wewe uko kwenye 0% disclosure!!

Sred klosed mpaka nitakapowasiliana na MJ1 faragha.
 
Tunaanz kupledge lini? kwa hii spidi sijui mwaka kama utaisha
Sred ishafungwa wewe bado unaendelea?. You have been warned shantel! tusubirie MJ1 atuwekee Part 2, tuulize masuala yetu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I thot ana mumewe au na yeye kasepa loo maswali hayaishi

....lol...haya sasa....kwahiyo nikikwambia ni soulmate ina maana na cheat nae (mwanajamiione?)...mbona umekimbilia conclusion mapema bana?

ushachelewa aisee
mj01 keshabebwa jumla hapo....

mbu you are my hero so far....

...oooppppssss, ....mtani nawe ume bugi stepu?....kubebwa jumla maana'ke nini bana?
she's my soulmate,...au tafsiri ya soulmate ni zaidi ya niijuavyo?

hahaaa tatizo miafrika mibishi kweli ukitoa swali lazima upewe swali badala ya jibu sijui kwanini hatupendi elewa

...aheri wewe umesema, ndio maana chauro nakupenda hivyo ulivyo.

Huyu Mbu kama ada za lawyer hajamalizia kulipa mimi navuruga sherehe yote. wewe mwache arushe picha zake za ngorongoro tu, mie namwangalia tu. lol

...e bana wee mimi nautukuza utalii wa ndani bana, hata mahakamani nashinda hii kesi...
hakuna picha hata moja hapo anayoonekana mwanajamiione aki-donate ze blood kwa mbu, au? hehehe...!
alibi tu hizo...

Wenye akili zetu za usingizi usingizi mbona tuliyaona haya mapema kabisa.....!!!!!

Mubarikiwe sana na Bwana Mungu aendelee kuwalinda ili mwende tena mbungani....Msisahau kuombea wanyama ili wasipelekwe wote huko jangwani kwa Waarabu!!

...ameen mstaafu, ameen...!
nitakwenda tena inshaallah, sio na mwanajamiione ila na soulmate wangu

mwanajamiione ni "soulmate" wangu wa jamiiforums where we dare to talk openly,
kwenye real world,....i have a dear darling, my heart & soul...----sijui nimeeleweka jamani?

ni sawa na equation hii; 3Al(s) + 3NH4ClO4 yields Al2O3 +AlCl3 + 3NO+6H2O

Case Closed.

Mbu hiyo lifomula la kemia wenzio unatuharibia siku hapa............!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
sikumbuki lini uli close thread..

au ndo dua zetu tulizowaombea zifike haraka kwa mungu? lol

Bora The Boss umenisaidia...Yaani walimu wa chekechea utawajua tu. Kila akimaliza kusimulia watoto wake hadhithi inabidi aihitimishe kisha awaulize...''haya watoto, hadithi yetu ya leo inatufundisha nini?''

Tangu lini JF siredi ikafungwa jamani? CASE CLOSED!!
 
Mbu hiyo lifomula la kemia wenzio unatuharibia siku hapa............!!

...hhahaha, how is that possible kiongozi? ukichanganya formula hiyo na cinnamon + citrus flavor unapata crossbreed scents kama ya Joop na Clinique perfumes...

...hhahaha, how is that possible kiongozi? ukichanganya formula hiyo na cinnamon + citrus flavor unapata crossbreed scents kama ya Joop na Clinique perfumes...

Clinique perfumes are my favourite. If that is the case, nimekusamehe! Tehetehethehe!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamani please tell me more about that sweetie!! je una maanisha you guys are not supposed to be given the happiest moment kwa kuwa mtakuwa weak au mie ndo sijaelewa?!
MJ'ONE
coz at this moment even a man's guardian angel stays away!
 
...lol... hivi mnasoma lakini hamuelewi ee? mwanajamiione is my soulmate, case closed.
I love MMU....
where souls meet, and become soulmates
where love's indeed, and cant be hidden

ngoja nirudie ile ya jana

nanananaaaaana, nanananaaaaaaaaaaaana....
mbu yuko haaaappy, MJ yuko haaaaaaaaappy
na mimi naenda Piiiiiieeeem
nanananaaaaana,
:A S-rap:
 
Hili sredi lilikofikia. ODM ako nje kabisaa!

Ngoja akafufue ile ya On Second Thought labda ataweza changia chochote.........
 
Nipigieeee............mpenzi wangu nipigieeeeeee!
Bado niko jikoniiiii
Nipigieeeee.....honey nipigieeeee

Mimi na wewe ni kitu kimoooojaaaaaaaaa!
 
Hili sredi lilikofikia. ODM ako nje kabisaa!

Ngoja akafufue ile ya On Second Thought labda ataweza changia chochote.........
mate umeanza.... yani wewe bila kutia maji mbege huioni tamu
 
mate umeanza.... yani wewe bila kutia maji mbege huioni tamu
Hahahaha...........hiyo ndo kama Baby Come Back on Second Thought...... ukichanganya na Special Romantic Moment, Unaweza pata Malaria hata Klorokwini isikusaidie........
 
Hahahaha...........hiyo ndo kama Baby Come Back on Second Thought...... ukichanganya na Special Romantic Moment, Unaweza pata Malaria hata Klorokwini isikusaidie........
contradicting indeed... and that is LOVE, always contradictory and strangely compatible... LOL
 
I love MMU....
where souls meet, and become soulmates
where love's indeed, and cant be hidden

ngoja nirudie ile ya jana

nanananaaaaana, nanananaaaaaaaaaaaana....
mbu yuko haaaappy, MJ yuko haaaaaaaaappy
na mimi naenda Piiiiiieeeem
nanananaaaaana,
:A S-rap:

...aaaarrrrggghhhh, cum on kamanda....
yaaani nawewe unayumbishwa na pepo za kusi na kaskazi?
thought ni majahazi ya kiswahili swahili ndiyo yanayoshabikia "discussing people"

anyway,....to keep the record straight...i love this mwanajamiione, and am dying to
know better the lady behind the keyboard...maana aonekana ni celeb fulani hapa jf and beyond...
a lady of a noble and distinctive character... hehehe...
 
Back
Top Bottom