Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

...aaaarrrrggghhhh, cum on kamanda....
yaaani nawewe unayumbishwa na pepo za kusi na kaskazi?
thought ni majahazi ya kiswahili swahili ndiyo yanayoshabikia "discussing people"

anyway,....to keep the record straight...i love this mwanajamiione, and am dying to
know better the lady behind the keyboard...maana aonekana ni celeb fulani hapa jf and beyond...
a lady of a noble and distinctive character... hehehe...

aaaggrrrr kamanda... ona sasa na wewe umeyumbishwa na nilivyoyumba

hahahaaaaaaaaaaaa, kumbe ulikua mtego tu??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Na kwa hapo ni LAZIMA upate kibali changu......If you know what I mean......Mjukuu mtiifu ndo huwa anakata kucha za babu, huwa hatoki bila kibali cha babuye.
 
aaaggrrrr kamanda... ona sasa na wewe umeyumbishwa na nilivyoyumba

hahahaaaaaaaaaaaa, kumbe ulikua mtego tu??

...ebana sasa huelewi nini bana? nishakwambia nampenda, and am looking forwrd to know her well beyond the keyboard.
kwani kupenda ni ubaya jamani? soulmate ana pete tu kidoleni, kuvishwa pete si kuolewa...you never know...l

labda sometym soon i will be preaching my love for mwanajamiione hapa...
 
Na kwa hapo ni LAZIMA upate kibali changu......If you know what I mean......Mjukuu mtiifu ndo huwa anakata kucha za babu, huwa hatoki bila kibali cha babuye.

...hahaha, mbona unaandika kwa ukali bana?....

i would love to take your mjukuu kwenye retreat mojawapo hivi karibuni.
tafadhali namuomba...siku tatu tu, akinikataa si basi!
 
Mbona sijaona tangazo la kuifungua hii thread???

Ila naona mchuzi unakaribia kuwekwa kwenye bakuli!!
 
...ebana sasa huelewi nini bana? nishakwambia nampenda, and am looking forwrd to know her well beyond the keyboard.
kwani kupenda ni ubaya jamani? soulmate ana pete tu kidoleni, kuvishwa pete si kuolewa...you never know...l

labda sometym soon i will be preaching my love for mwanajamiione hapa...
Mkuu mbona nilishaelewa longi tu?? au hujaelewa niliposema mtego??

na wewe bhana... nakua kama bhaniani ya kochni ati'
 
...hahaha, mbona unaandika kwa ukali bana?....

i would love to take your mjukuu kwenye retreat mojawapo hivi karibuni.
tafadhali namuomba...siku tatu tu, akinikataa si basi!
Siku tatu? Orayt, kucha zitakuwa hazijaota. Ole wako unogewe afu uzidishe....Mbu atanunuliwa Xpel kutoka Malaysia!............Inaua mpaka vizazi vyake vijavyo.
 
hehehehehehe hapa nini kinaendelea? havijaumana kweli au ndo mambo ya Romantic moment sio?
Ngoja na mimi nitafute soul mate. lol
 
Hommie, ilimradi usinigusie Gaga,King'asti na Keren Hapuch....bado niko kwenye research ya nani anafaa kuwa soulmate wa ODM.
Hommie naona umenimalizia choisi zote sasa? Ngoja nichonge na Mwalimu Gaijin anipe muongozo nani nitoke nae kama Soul Mate..!!
 
Khaaa! Una ugomvi na fellow tablet wangu klorokwini? Kashanunua raba mtoni tayari ya kutoka na Gaijin..........We mjaribu Blaki Womani. Huwezi jua mipango ya Invizibo.
 
hahaha kumbe? mi itabidi nitafute mchele mchele na bahama nimuibukie Black woman! Ila ka moyo kangu kamemdondokea Keren_Hapuch!!
 
Ewaaaa...... ukishindwa nistue, ntakufanyia mpango kwa Lily Flower, Preta au Husninyo.
 
hehehehehehe hapa nini kinaendelea? havijaumana kweli au ndo mambo ya Romantic moment sio?
Ngoja na mimi nitafute soul mate. lol

Mkuu DC apo ju hommie kasema "Mchuzi unakaribia kutiwa kwenye bakuli"

Apo chaha akili zako tu....lol
 
Kupenda mtu sio crime, no need to be ashame of, au vp wajameni, just be happy

Gaga sema tu kale katufe ka senks siku hizi hakapo....ningekutwangia kwa hii yuziful posht....

now....funda moja tu la mwisho litaniumbua...
 
Hommie, ilimradi usinigusie Gaga,King'asti na Keren Hapuch....bado niko kwenye research ya nani anafaa kuwa soulmate wa ODM.

hivi huu ni ukabaila mamboleo ama nini? Hommie Kimey ebu do ze nidiful untafsirie hapa ODM anamaanisha nn?
 
Ewaaaa...... ukishindwa nistue, ntakufanyia mpango kwa Lily Flower, Preta au Husninyo.
Hapa ndo nakupendea ODM hupendi hommie wako akose soul mate. Hapo kwa Husninyo sijui mzee wa MIA atanielewa kweli, maana juzi juzi tu hapa kulikua na mtafaruku na X Girl Friend.!
 
Back
Top Bottom