hapo red: Mimi hii sredi tangu mwanzo niliichukulia kama ya kuwapongeza MJ1 na Mbu tu, kwa masweet memories yao ya ngorongoro.
Hapo buluu: acha nikachekee kwa jirani aisee
trip za mbugani zitapanda chati mwaka huu
from jf lovers tourists....lol
Haya bwana CQ,
Hebu basi achana na hli li-thread ambalo mwenye nalo kalifunga prematurely...Sijuia anakimbia nini??
Nenda kwenye ile ingine utueleze huwa una disclose asilimia ngapi?? au wewe uko kwenye 0% disclosure!!
Tunaanz kupledge lini? kwa hii spidi sijui mwaka kama utaishaHuyu Mbu kama ada za lawyer hajamalizia kulipa mimi navuruga sherehe yote. wewe mwache arushe picha zake za ngorongoro tu, mie namwangalia tu. lol
Sred ishafungwa wewe bado unaendelea?. You have been warned shantel! tusubirie MJ1 atuwekee Part 2, tuulize masuala yetuTunaanz kupledge lini? kwa hii spidi sijui mwaka kama utaisha
Sred klosed mpaka nitakapowasiliana na MJ1 faragha.
I thot ana mumewe au na yeye kasepa loo maswali hayaishi
ushachelewa aisee
mj01 keshabebwa jumla hapo....
mbu you are my hero so far....
hahaaa tatizo miafrika mibishi kweli ukitoa swali lazima upewe swali badala ya jibu sijui kwanini hatupendi elewa
Huyu Mbu kama ada za lawyer hajamalizia kulipa mimi navuruga sherehe yote. wewe mwache arushe picha zake za ngorongoro tu, mie namwangalia tu. lol
Wenye akili zetu za usingizi usingizi mbona tuliyaona haya mapema kabisa.....!!!!!
Mubarikiwe sana na Bwana Mungu aendelee kuwalinda ili mwende tena mbungani....Msisahau kuombea wanyama ili wasipelekwe wote huko jangwani kwa Waarabu!!
...ameen mstaafu, ameen...!
nitakwenda tena inshaallah, sio na mwanajamiione ila na soulmate wangu
mwanajamiione ni "soulmate" wangu wa jamiiforums where we dare to talk openly,
kwenye real world,....i have a dear darling, my heart & soul...----sijui nimeeleweka jamani?
ni sawa na equation hii; 3Al(s) + 3NH4ClO4 yields Al2O3 +AlCl3 + 3NO+6H2O
Case Closed.
sikumbuki lini uli close thread..
au ndo dua zetu tulizowaombea zifike haraka kwa mungu? lol
Mbu hiyo lifomula la kemia wenzio unatuharibia siku hapa............!!
...hhahaha, how is that possible kiongozi? ukichanganya formula hiyo na cinnamon + citrus flavor unapata crossbreed scents kama ya Joop na Clinique perfumes...
MJ'ONEJamani please tell me more about that sweetie!! je una maanisha you guys are not supposed to be given the happiest moment kwa kuwa mtakuwa weak au mie ndo sijaelewa?!
I love MMU.......lol... hivi mnasoma lakini hamuelewi ee? mwanajamiione is my soulmate, case closed.
Nipigieeee............mpenzi wangu nipigieeeeeee!I love MMU....
where souls meet, and become soulmates
where love's indeed, and cant be hidden
ngoja nirudie ile ya jana
nanananaaaaana, nanananaaaaaaaaaaaana....
mbu yuko haaaappy, MJ yuko haaaaaaaaappy
na mimi naenda Piiiiiieeeem
nanananaaaaana,
:A S-rap:
mate umeanza.... yani wewe bila kutia maji mbege huioni tamuHili sredi lilikofikia. ODM ako nje kabisaa!
Ngoja akafufue ile ya On Second Thought labda ataweza changia chochote.........
Nipigieeee............mpenzi wangu nipigieeeeeee!
Bado niko jikoniiiii
Nipigieeeee.....honey nipigieeeee
Mimi na wewe ni kitu kimoooojaaaaaaaaa!
Hahahaha...........hiyo ndo kama Baby Come Back on Second Thought...... ukichanganya na Special Romantic Moment, Unaweza pata Malaria hata Klorokwini isikusaidie........mate umeanza.... yani wewe bila kutia maji mbege huioni tamu
contradicting indeed... and that is LOVE, always contradictory and strangely compatible... LOLHahahaha...........hiyo ndo kama Baby Come Back on Second Thought...... ukichanganya na Special Romantic Moment, Unaweza pata Malaria hata Klorokwini isikusaidie........
I love MMU....
where souls meet, and become soulmates
where love's indeed, and cant be hidden
ngoja nirudie ile ya jana
nanananaaaaana, nanananaaaaaaaaaaaana....
mbu yuko haaaappy, MJ yuko haaaaaaaaappy
na mimi naenda Piiiiiieeeem
nanananaaaaana,
:A S-rap: