Hivi hii sredi haijaklozi bado?
Mfalme wa Amani anachungulia tu..!There are currently 17 users browsing this thread. (4 members and 13 guests)
Aisee......
Hommie unaanza kuzeeka kabla hujawa kijana? Maslahi ya chama yanazingatiwa hapa!hivi huu ni ukabaila mamboleo ama nini? Hommie Kimey ebu do ze nidiful untafsirie hapa ODM anamaanisha nn?
Hapa umenena vema! Na ukasamehewa dhambi zako zote........Hapa ndo nakupendea ODM hupendi hommie wako akose soul mate. Hapo kwa Husninyo sijui mzee wa MIA atanielewa kweli, maana juzi juzi tu hapa kulikua na mtafaruku na X Girl Friend.!
Hapa ukatenda dhambi tena.............rudi nyuma shetani!hommie kuna Umuhimu wa Kufanyia Mabadiliko makubwa chama chetu kile cha I.S.C !!
Hommie, ilimradi usinigusie Gaga,King'asti na Keren Hapuch....bado niko kwenye research ya nani anafaa kuwa soulmate wa ODM.
Hapo red chonde chonde fellow tablet, ntakutoa busha la utosi.
Khaaa! Una ugomvi na fellow tablet wangu klorokwini? Kashanunua raba mtoni tayari ya kutoka na Gaijin..........We mjaribu Blaki Womani. Huwezi jua mipango ya Invizibo.
hahaha kumbe? mi itabidi nitafute mchele mchele na bahama nimuibukie Black woman! Ila ka moyo kangu kamemdondokea Keren_Hapuch!!
Asee ushawasiliana na queenkami?
Hilo si ndo wanalipendaga zaidi?....Hebu fanya fasta Gaijin alione.Hapo red chonde chonde fellow tablet, ntakutoa busha la utosi.
Hahahahaha........ kiongozi naona huchezi mbali na rafiki yangu wa JF.Asee ushawasiliana na queenkami?
Naona na wewe umesha mu-add kama friend wako, ndo mapinduzi kama ya Tripoli au ya Zenji?hehehe ngoja Aspirin aje kujibu hii. Dah!
Hahahahaha........ kiongozi naona huchezi mbali na rafiki yangu wa JF.
Sasa kila kona mmebana ngoja niibuke na Daughter basi!Wakuu hiyo mali inalindwa na Stevie Dii yule ndugu yake Asha Dii, Ole wenu aje kuona mnamjadili mchumbaake kwenye sredi ya sweet romantic memories
Skujua wanapenda mpaka busha la utosi! Busha cancelled! acha nifkirie azabu lengine.Hilo si ndo wanalipendaga zaidi?....Hebu fanya fasta Gaijin alione.
Hahahahaha........ kiongozi naona huchezi mbali na rafiki yangu wa JF.
Naona na wewe umesha mu-add kama friend wako, ndo mapinduzi kama ya Tripoli au ya Zenji?
Kamanda niko serious kwa kweli...unajua huyo fellow tablet mwenzio haamini kabisa tokea queenkami afunguke ile mwaka jana. Sasa wewe nakuaminia....hawa mashori humu wanakuzimia sana na kwa vile queenkami ni rafikiyo basi naomba umuhakikishie fellow tablet kuwa I can never ever be queenkami.
Klorokwini doesn't believe me for some reason....
Hahahaha...........kwahiyo kiongozi naweza mtumia queenkami kwenye ile kazi ya kuijua tabia ya rafiki yetu PAW...........Hehehe...yani fellow tablet anasema wewe ni queenkami? kwamba umekuwa shemale au?..........mwambie akutake razi bana..... hii ni jinsia abuse na hairuhusiwi na kanuni zetu za JF jukwaa la MMU.Kamanda niko serious kwa kweli...unajua huyo fellow tablet mwenzio haamini kabisa tokea queenkami afunguke ile mwaka jana. Sasa wewe nakuaminia....hawa mashori humu wanakuzimia sana na kwa vile queenkami ni rafikiyo basi naomba umuhakikishie fellow tablet kuwa I can never ever be queenkami.
Klorokwini doesn't believe me for some reason....
Sasa kila kona mmebana ngoja niibuke na Daughter basi!
Skujua wanapenda mpaka busha la utosi! Busha cancelled! acha nifkirie azabu lengine.
Halaf huyu agent wa Queenkami huyu dah!
Khaaaa!:bump:Kamanda kuna sredi flani la confession! ukibisha nitaenda kulichimbua mida si mirefu. bora kubali matokeo tu
Kamanda kuna sredi flani la confession! ukibisha nitaenda kulichimbua mida si mirefu. bora kubali matokeo tu
Hahahaha...........kwahiyo kiongozi naweza mtumia queenkami kwenye ile kazi ya kuijua tabia ya rafiki yetu PAW...........Hehehe...yani fellow tablet anasema wewe ni queenkami? kwamba umekuwa shemale au?..........mwambie akutake razi bana..... hii ni jinsia abuse na hairuhusiwi na kanuni zetu za JF jukwaa la MMU.