...Hommie, mali za Fidel hizo..........watakucheka watu!Sasa kila kona mmebana ngoja niibuke na Daughter basi!
Hapa fellow tablet nashindwa kukuelewa kabisa..........ngoja nikarudishe ile memore kadi yangu ya kiindoneshia labda naweza kuambulia kituUnaweza ondoka na Queenkami, she iz singo and saching
Hahahaha huu mtego nini Kiongozi? Mara umsakizie Nyani Ngabu then unanisakizia! Ngoja kwanza!Unaweza ondoka na Queenkami, she iz singo and saching
Sasa ndugu yangu, mbona tena unanidalalia mbuzi wangu wa sikukuu?Unajua tatizo lako kamanda wewe ulichukulia ile sredi kuwa kama ndo neno la mungu wakati mimi nilikuwa nakumbushia enzi za mahoka!
Yaani natamani yule mdada aje mwenyewe hapa akate mzizi wa fitna...akupe na namba yake ya simu kabisa (ila ntakudai hela ukimtongoza)
Leo umeamkia famasi ipi?Unajua unaongea na nani? hehehehe ni Lawyer pekee mwenye shahada rangi ya zahabu hapa JF
Hahahaha...........kwahiyo kiongozi naweza mtumia queenkami kwenye ile kazi ya kuijua tabia ya rafiki yetu PAW...........Hehehe...yani fellow tablet anasema wewe ni queenkami? kwamba umekuwa shemale au?..........mwambie akutake razi bana..... hii ni jinsia abuse na hairuhusiwi na kanuni zetu za JF jukwaa la MMU.
Duh Fungu la kukosa hili sasa hommie!...Hommie, mali za Fidel hizo..........watakucheka watu!
Jitahidi manake kuna wakati nliona Mwita Maranya akiwa naye bize sana kwenye PM.Duh Fungu la kukosa hili sasa hommie!
Ngoja niendelee kung'ang'ana na Blaki womani tu!
Hahaha........yaelekea siku wakati unataja majina yako, fellow tablet alikuwa amepiga chimpumu. Ulevi wa Chimpumu huwa una tabia ya kuaminisha yasiyo aminika......kwa mfano ungejitaja kuwa wewe ndio Kikwete kila siku angekuwa anakuulizia kama mama Salma hajambo.......Hehehee....kuhusu jinsia ya Paw naomba nisiseme kitu maana leo hao wadudu wako kila kona...wanahasira na wanatafuta tu sababu ya kudondosha vifungo. Si unajua bosi wao Max anawapa quota ambayo ni lazima waifikishe kwa kila mwezi...
Kuhusu fellow tablet...kwa kweli ananikosesha raha na imani. Yaani ni kama vile hawezi kujua utani na u-serious....
Kumbe siku ile nataja majina yangu mengine humu ningesema mimi ndo Asprin angeniamini pia....najuta kwa nini sikusema hivyo!
Aiseee!Jitahidi manake kuna wakati nliona Mwita Maranya akiwa naye bize sana kwenye PM.
Ushauri wangu.........mjaribu Faiza Foxy.......hapo uhakika!Aiseee!
Kazi nnayo basi? huh!
Unajua tatizo lako kamanda wewe ulichukulia ile sredi kuwa kama ndo neno la mungu wakati mimi nilikuwa nakumbushia enzi za mahoka!
Yaani natamani yule mdada aje mwenyewe hapa akate mzizi wa fitna...akupe na namba yake ya simu kabisa (ila ntakudai hela ukimtongoza)
hahahaha hommie wantakia mema kweli wewe?Ushauri wangu.........mjaribu Faiza Foxy.......hapo uhakika!
...Hommie, mali za Fidel hizo..........watakucheka watu!
Hapa fellow tablet nashindwa kukuelewa kabisa..........ngoja nikarudishe ile memore kadi yangu ya kiindoneshia labda naweza kuambulia kitu
Hahahaha huu mtego nini Kiongozi? Mara umsakizie Nyani Ngabu then unanisakizia! Ngoja kwanza!
Sasa hiyo ndo yaitwa Special Romantic Moment aka SRM......wanchekesha lolhahahaha hommie wantakia mema kweli wewe?
Mambo ya "unachekesha" na "Wanshangaza" ntayawezea wapi?
Ukabaila huu sasa the Tablet, kwa nini isiwe kwa Keren hii "Kisuri kula na mwenzio"heheeh hakuna tego wajameni, hapo ni kisuri kula na nduguyo rule imeapply. nimekuachieni queenkami, naomba Keren Happuch asitajwe tena kwenye post zenu
hehehehe SRM? wanshangaza lolSasa hiyo ndo yaitwa Special Romantic Moment aka SRM......wanchekesha lol
hahaha kumbe? mi itabidi nitafute mchele mchele na bahama nimuibukie Black woman! Ila ka moyo kangu kamemdondokea Keren_Hapuch!!
Ukabaila huu sasa the Tablet, kwa nini isiwe kwa Keren hii "Kisuri kula na mwenzio"
Hukupaswa kumwambia hivyo hommie, ungemwambia kama ulivyosema hapa chini lol Wanchekesha!Ukabaila huu sasa the Tablet, kwa nini isiwe kwa Keren hii "Kisuri kula na mwenzio"
hehehehe wanshangaza lol
hahaha Bintimaringo dah siku mingi sana hajatokea, ila JF ni zaidi ya uijuavyo watu wakichoka wankuja kivingine na ID mpya!Hivi yule bintimaringo siku hizi yuko wapi?
heheeh hakuna tego wajameni, hapo ni kisuri kula na nduguyo rule imeapply. nimekuachieni queenkami, naomba Keren Happuch asitajwe tena kwenye post zenu
Hommie, ilimradi usinigusie Gaga,King'asti na Keren Hapuch....bado niko kwenye research ya nani anafaa kuwa soulmate wa ODM.