Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

Unajua tatizo lako kamanda wewe ulichukulia ile sredi kuwa kama ndo neno la mungu wakati mimi nilikuwa nakumbushia enzi za mahoka!

Yaani natamani yule mdada aje mwenyewe hapa akate mzizi wa fitna...akupe na namba yake ya simu kabisa (ila ntakudai hela ukimtongoza)
Sasa ndugu yangu, mbona tena unanidalalia mbuzi wangu wa sikukuu?

Unajua unaongea na nani? hehehehe ni Lawyer pekee mwenye shahada rangi ya zahabu hapa JF
Leo umeamkia famasi ipi?
 
Hahahaha...........kwahiyo kiongozi naweza mtumia queenkami kwenye ile kazi ya kuijua tabia ya rafiki yetu PAW...........Hehehe...yani fellow tablet anasema wewe ni queenkami? kwamba umekuwa shemale au?..........mwambie akutake razi bana..... hii ni jinsia abuse na hairuhusiwi na kanuni zetu za JF jukwaa la MMU.

Hehehee....kuhusu jinsia ya Paw naomba nisiseme kitu maana leo hao wadudu wako kila kona...wanahasira na wanatafuta tu sababu ya kudondosha vifungo. Si unajua bosi wao Max anawapa quota ambayo ni lazima waifikishe kwa kila mwezi...

Kuhusu fellow tablet...kwa kweli ananikosesha raha na imani. Yaani ni kama vile hawezi kujua utani na u-serious....

Kumbe siku ile nataja majina yangu mengine humu ningesema mimi ndo Asprin angeniamini pia....najuta kwa nini sikusema hivyo!
 
Duh Fungu la kukosa hili sasa hommie!
Ngoja niendelee kung'ang'ana na Blaki womani tu!
Jitahidi manake kuna wakati nliona Mwita Maranya akiwa naye bize sana kwenye PM.
 
Hehehee....kuhusu jinsia ya Paw naomba nisiseme kitu maana leo hao wadudu wako kila kona...wanahasira na wanatafuta tu sababu ya kudondosha vifungo. Si unajua bosi wao Max anawapa quota ambayo ni lazima waifikishe kwa kila mwezi...

Kuhusu fellow tablet...kwa kweli ananikosesha raha na imani. Yaani ni kama vile hawezi kujua utani na u-serious....

Kumbe siku ile nataja majina yangu mengine humu ningesema mimi ndo Asprin angeniamini pia....najuta kwa nini sikusema hivyo!
Hahaha........yaelekea siku wakati unataja majina yako, fellow tablet alikuwa amepiga chimpumu. Ulevi wa Chimpumu huwa una tabia ya kuaminisha yasiyo aminika......kwa mfano ungejitaja kuwa wewe ndio Kikwete kila siku angekuwa anakuulizia kama mama Salma hajambo.......
 
Unajua tatizo lako kamanda wewe ulichukulia ile sredi kuwa kama ndo neno la mungu wakati mimi nilikuwa nakumbushia enzi za mahoka!

Yaani natamani yule mdada aje mwenyewe hapa akate mzizi wa fitna...akupe na namba yake ya simu kabisa (ila ntakudai hela ukimtongoza)

Hehehe poa kamanda I rest my case bana! sasa mrembo kapotelea wapi? Kimey yuko availabo
 
Ushauri wangu.........mjaribu Faiza Foxy.......hapo uhakika!
hahahaha hommie wantakia mema kweli wewe?
Mambo ya "unachekesha" na "Wanshangaza" ntayawezea wapi?
 
...Hommie, mali za Fidel hizo..........watakucheka watu!

Hapa fellow tablet nashindwa kukuelewa kabisa..........ngoja nikarudishe ile memore kadi yangu ya kiindoneshia labda naweza kuambulia kitu

Hahahaha huu mtego nini Kiongozi? Mara umsakizie Nyani Ngabu then unanisakizia! Ngoja kwanza!

heheeh hakuna tego wajameni, hapo ni kisuri kula na nduguyo rule imeapply. nimekuachieni queenkami, naomba Keren Happuch asitajwe tena kwenye post zenu
 
Ukabaila huu sasa the Tablet, kwa nini isiwe kwa Keren hii "Kisuri kula na mwenzio"

Rules zozote zina exceptions! hata JF rules zinasema ukitukana kama uko kwenye athari za bange na ikathibitika basi haupigwi ban.
Keren Happuch hahusiki kabisa kwenye rule ya kisuri kula na nduguyo
 
Back
Top Bottom