Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Watapunguzwa badae, ila uzoefu wa Kaka ndio unamuweka hapo. So unless anaumia, sioni akikosa.

Ok naomba iwe hivyo sababu Kaka kaipigania sana hii nafasi na nadhani haya yatakuwa mashindano yake ya mwisho kwa timu ya taifa so ni vizuri kumpa nafasi yake ya mwisho kuonyesha kipaji chake na kuuaga ulimwengu wa soka na mashabiki wake.
 
Hii ndo reply yangu ya mwisho kwako, siwezi kuweka ligi na wewe Mkuu!!!

We ng'ombe kweli kumbe ulikuwa unatafuta ligi na mimi!!!!!. Usinijibu tena ujinga wako
 
au ni mimi sijui kusoma! Alves hayupo??
 
Mi naona anaweza kuchukua namba ya yeyote pale katikati au mbele lkn hakuna anayeweza kuchukua nafasi ya dinho na akaiziba sawasawa......Ana kipaji na uwezo wa tofauti sn

Mkuu hivi umewahi kumuona dinho akicheza kwa miaka kama miwili iliyopita au ulikuwa unataka kumtaja neymar isije kuwa unamzungumzia dinho wa kwenye game za PS 2006-2008
 
Haya mashindano yanaaza leo rasmi huko chile kwa nchi za bara la america ya kusini kumtafuta bingwa wa bara hilo lenye historia ya soka duniani.
Ila sijajua kwa hapa bongo muda ambao tutakuwa kwenye runinga kutazama haya mashindano.
 
Haya mashindano yanaaza leo rasmi huko chile kwa nchi za bara la america ya kusini kumtafuta bingwa wa bara hilo lenye historia ya soka duniani.
Ila sijajua kwa hapa bongo muda ambao tutakuwa kwenye runinga kutazama haya mashindano.
saa 8:30 usiku.
 
Hizi forward ni sheedah.
Messi
Kun Aguerro
Calitos a k a Tevenga
Gonzalo Higuein

Ma-middle
Lemela
Dyabala
.......
........
Nawaona Argentina wakinyanyua kwapa.
 
Hizi forward ni sheedah.
Messi
Kun Aguerro
Calitos a k a Tevenga
Gonzalo Higuein

Ma-middle
Lemela
Dyabala
.......
........
Nawaona Argentina wakinyanyua kwapa.
Hata mimi naungana na wewe, Argentina anabeba hili kombe.
 
Back
Top Bottom