Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
lazma augulie fedha ndefu tutakayovuta lazma imnyime amani!Huyu jamaa Tony254 anaugua sana kuona kila uchao EACOP ni faya. Hizo namba $12.7×b200,000/- = $2,540,000/- per day inawauma sana mioyoni mwao. Mpaka wanataka kuingia kwenye ⚰⚰⚰.
Mara kule EACOP mara huku Gold refinery mara hapo electrical SGR mara huko ferries!Mi nahisi huyu jamaa Tony254 ndo lead of advocacy teams zinayoroga mipango yetu ya EACOP.
wakenya wanabaki kusema tu eti tunasubiri petroleum act. contract iliosaoniwa juzi ndio hizo hapoView attachment 1818553
jamaa aliesema tunasubiri petroleum act yupo wapihaya tena mambo yanazidi kunoga
View attachment 1820821
haya tena mambo yanazidi kunoga
View attachment 1820821
Nahisi kama POURT yuko Dar kusubiri official FID announcement n ceremony!
kila ukimuita haji, kwaniniNgoja nimwite ili aje ajionee mwenyewe.
Tony254.
Mnapoteza taxes bure. Hio pesa ingesaidia kujenga mahospitali, sasa pesa itabaki kwenye mfuko ya mzungu. Eti kwa sababu mnajaribu kufurahisha wazungu.hahaha, anasubiro PS ampe uhakika kwanzaView attachment 1820934