Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
lazma augulie fedha ndefu tutakayovuta lazma imnyime amani!Huyu jamaa Tony254 anaugua sana kuona kila uchao EACOP ni faya. Hizo namba $12.7×b200,000/- = $2,540,000/- per day inawauma sana mioyoni mwao. Mpaka wanataka kuingia kwenye ⚰⚰⚰.