Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Yaani hapa kuna wasanii wataliwa za kichwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo studio nini! We jitahidi hivyo hivyo mkuu. Kama mistari haipandi, bandika hata ya wimbo wa taifaWakuu vipi mbona naona kimya mbona mnaniangusha
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Penzi umefanya mlima, nitapanda vipi mie kilema..
Maumivu kwangu ni suna, sina pakushika nalalama...
Una roho mbaya ya chuma, umekosa hurumaa..
Ila sio mbayaaa nimekomaa, umeniumizaaa
Moyo bado una kinyongoo, natamani kulipaa..
Kiza totoro tongotongo, nani atanifutaaa
Sawaa labdaa hatuendii...
Unavyofanya haufananii...
Penzi gani la ushindanii..
We katiri zaidi ya shetanii...
Moyoni umeleta msibaaa, umeacha matangaa...
Unanenepa unakula unashibaa... huku mwenzako nakondaaa...
Makini sir unajua sanaPenzi umefanya mlima, nitapanda vipi mie kilema..
Maumivu kwangu ni suna, sina pakushika nalalama...
Una roho mbaya ya chuma, umekosa hurumaa..
Ila sio mbayaaa nimekomaa, umeniumizaaa
Moyo bado una kinyongoo, natamani kulipaa..
Kiza totoro tongotongo, nani atanifutaaa
Sawaa labdaa hatuendii...
Unavyofanya haufananii...
Penzi gani la ushindanii..
We katiri zaidi ya shetanii...
Moyoni umeleta msibaaa, umeacha matangaa...
Unanenepa unakula unashibaa... huku mwenzako nakondaaa...
AaahhahaUpo studio nini! We jitahidi hivyo hivyo mkuu. Kama mistari haipandi, bandika hata ya wimbo wa taifa
Ebu weka hiyo yako ya wimbo wa taifaUpo studio nini! We jitahidi hivyo hivyo mkuu. Kama mistari haipandi, bandika hata ya wimbo wa taifa
Sasa mkuu humu umemuona nani msanii wa kutunga kihivyo na kupost?Yeah mkuu ni hivo tu ni kwajili ya burudani tu
Salute kwako mkuu umetisha sana aiseeVerse 1
Ukweli sina chuki nawe, kusema nikukinai,
Huu wimbo mahususi kwako, mi siruki hako, kamtego kako baby.
Achana na mamluki nawe,waletao uzushi wale,
Maneno mkuki, usije ukanishuti, uniache mahututi darling.
Kumbikumbi wanaopaa, levo moja tunafatana,
Mchina na mjapan, wakituona tunafanana,
Inawezekana ndo sababu wanaona wivu sana,
Wanasema tutaachana tu(Oh no!)
Waambie hawatutishi, kuachana sio rahisi,
Mtoto we ni pisi, na bado uko peace,
You give me that peace of mind
Bridge
Nakumbuka ile kipindi, naanza kukujua
Enzi zile sina kiki, bado tupo chuo
Sina boom nina dhiki, hukujifaragua
Hukunipiga bluetiki, hukuwahi nizingua
Na wivu haujifichi, kuna lecture alijua
Akaweka vizingiti, usimalize chuo
Lakini bado haukuchiti,
Ndomaana nashangaa unaponiuliza
Do you love me? Coz
Hook
How can I not*4
Verse 2
Sasaivi tunakiwasha kama pilipili
Kila pozi kwenye picha tuna kili kili
Unanipenda na unaonyesha sio siri siri
Nishacheza ngoma yako ya makirikiri
Penzi bila kipimo (Baby kama lipi hilo?)
Kama wafilipino
(basi Usifanye igizo, penzi lisiwe na likizo,
Mi nakupa kipimo,Twende home utie wino.
.
Bridge
Coz nakumbuka ile kipindi, naanza kukujua,
Enzi zile sina kiki, bado tupo chuo,
Sijasuka bila wigi, Ulinisifia,
Ukanipa ile gifti, nlipougua)
Saivi Michongo imetiki,Jipange kutanua
Nitakupa kila kitu ushindwe kuchagua
(Na mimi staki kitu,Nimeshaamua
Ni wewe nachagua, Kwakuwa
Hook
How can I not*4
Amna mkuu mimi sipo kibiashara ni burudani tu mkuu ebu weka tukuone mkali wa love lyricsHaya mashairi nitakayoweka hapa yana haki miliki sasa wewe kosea ukayauze nikuloge.
Acha wenye vipaji watakuja tu mkuuSasa mkuu humu umemuona nani msanii wa kutunga kihivyo na kupost?
NIMEKAA PALE