Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shida mkuu ni wewe tu kutengeneza beats liendane na hio nyimboI will give you,ni nzuri naomba niimbe hilo songi.
Sawa mkuu ila utajifunza kuandika lyrics kwenye hii threadJitokeze pia ni kali sana unajua sana mkuu,mi nawwza kuimba na kutunga melody ila kuandika sio sana.
Hahahaha amna mkuu mimi sio msanii ila nashukuru kama umependa kazi yangu. Mimi huwa natunga melody nikiwa free ili niichangamshe akili ila sina mpango msanii ni hivo tu mkuu"Mkuu unaonaje ubadili jina ujiite lavalava maana........"
Hamna shida nami nataka iwe hivo tupate burudani kutoka kwako mkali wa love lyrics. Karibu sanaMkuu mm now she na mashairi just for funny,nayo commercial ambayo siwezi kupost humu
Ngoja nikitulia labda nitaandika ya kwa ajili ya humu
Hapana mkuu mimi sina mpango huu. Kwanza mimi sio msanii natunga mashairi just for burudani tu mkuuMudi Unataka kutupiga kama wale wanaofukuza kuku mweusi gizanI.
Hahahahaha umejitahidi mkuu sio mbayaMgumba huomba mtoto, mdangaji huua kuficha aibu zakee..
Masikini aotapo ndoto, tajiri halali hukuagua hesabu zakee..
Naomba uaminii, vyenye faida huanza na hasaraa...
Naomba ujiaminii, yatumie uliyopitia kama darasaaa..
Nimepitia mengiii, nikasema sitapenda tenaaa..
Kumbe penye miti hawajengii, nipeleke maji jangwaniii...
Nishajua nanii hawabebeki, nani mbeleko mgongoni huchanaaa..
Nishaumia walahi kudadeki, njoo tubebane tuuguzaneee..
Sema mkuu kwenye huo mstari ulipoishia na jangwanii verse inayofuata ulitakiwa uishia na vina vya herufi iii na sio AAA mkuu ingependeza zaidiMgumba huomba mtoto, mdangaji huua kuficha aibu zakee..
Masikini aotapo ndoto, tajiri halali hukuagua hesabu zakee..
Naomba uaminii, vyenye faida huanza na hasaraa...
Naomba ujiaminii, yatumie uliyopitia kama darasaaa..
Nimepitia mengiii, nikasema sitapenda tenaaa..
Kumbe penye miti hawajengii, nipeleke maji jangwaniii...
Nishajua nanii hawabebeki, nani mbeleko mgongoni huchanaaa..
Nishaumia walahi kudadeki, njoo tubebane tuuguzaneee..
Mkuu hebu ipangilia vina vya mwishoni mwa verse ilete radha lyrics yako. Ila hongera mkuu umejaribu na burudani tumeipataSong.. Tanga
Natoka zangu dar naenda tanga nipo kwenye basi la tashirifu konda anazingua eti anavuta wisiston ndani ya basi,konda vip mbona chenga anasema anakata stimu,abiria nao wakaanza oooh konda tupe tupashe misuli tuondoe baridi eeeeh dereva kumbe ana kitu cha arusha si akawasha daaah kweli dereva noma nikaomba radha adimu, pembeni nipo na mtoto kali si akawasha chake kitu cha ubaloz embassy daah hii kitu ipo mwake,tukafika chalinze kwenye mzani sasa maraa ooh abiria shukeni gar ipunguze uzitoo watuu ooh ooh,konda ujasiliamal mwingi shuka wew,mida ya saba usiku gari inafika tanga mkwakwani.....oioioioi
Coras
Tanga noma ,tanga noma
Tanga noma,tanga noma
NomaaSong.. Tanga