Special thread: Hii ni kwa wakali wa kutunga lyrics (nyimbo) za mahaba hasa kwa mfumo wa RnB

Huyu jamaa ndo anajua, uzi mzima
 
Nimeishi na watu tofauti
Wenye roho Safi na wenye chuki
Nawajua marafiki nawajua mamluki
Wenye akili ndefu na zile fupi
 
"Uyu kakatwa korodani uyu tandikwa risas katolewa duniani sio mapenzi ni ualifu wa kishenzi vitamu pia uachwa na vichungu pia uliwa kuna tofauti kati ya penzi na uadui jioni na asubui mwambieni"
 
Maua mazuri yapendeza,
Ukiyatazama,
Yanamelemeta,
Hakuna hata moja lisilopeneda

Nzu Nzu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…