Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Hii[emoji963]
Screenshot_20200204-194514_1581107079991.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hongereni kwa kuwa member wa jf, m n mdau mzur sana wa nukuu (quotes) naamini hizi nukuu zimenisaida kwa kias fulan kufika hapa nilipo, kuna wakati zinanifariji, zinanifurahisha na kunihuzunisha pia, nazikubali sana nukuu za hayati Mugabe, "nachukua dk 2 za masikitiko kwa ajil ya kumkumbuka" anyway, Leo hi nmekuja kwenu wadau kuomba nukuu zozote mlizonazo ziwe zenu au sio zenu.
NB: nlvosema nazikubali nukuu za Mugabe sijamaanisha zingne zisikubali la hasha! Zote nazikubali. Naomba mnidondoshee zozote tafadhal. Love u all JF Member❤️
 
Back
Top Bottom