It’s not so much what we have in this life that matters. It’s what we do with what we have
heshima yako
heshima yako
alhamdulillah kaka bado tunapumua
Growth is painful, Change is painful. But nothing is as painful as staying somewhere you don't belong.
"Thank u, pls type another one"Growth is painful, Change is painful. But nothing is as painful as staying somewhere you don't belong.
Bora kumpa chance 20 mpenz wako mmoja kuliko kudate na wapenzi 20 tofaut, bora kuwa mjinga kuliko kuwa malayaUnaweza Jishanga Kwanini Muda Mlefu hupo Single kumbe ndugu Zako kijiji Wanakuombea Kwa Mungu Usiwe Malaya
safi sana aiseeUnaweza Jishanga Kwanini Muda Mlefu hupo Single kumbe ndugu Zako kijiji Wanakuombea Kwa Mungu Usiwe Malaya
Download "Whatsapp status" zipo nyingi sana mkuuWakuu hongereni kwa kuwa member wa jf, m n mdau mzur sana wa nukuu (quotes) naamini hizi nukuu zimenisaida kwa kias fulan kufika hapa nilipo, kuna wakati zinanifariji, zinanifurahisha na kunihuzunisha pia, nazikubali sana nukuu za hayati Mugabe, "nachukua dk 2 za masikitiko kwa ajil ya kumkumbuka" anyway, Leo hi nmekuja kwenu wadau kuomba nukuu zozote mlizonazo ziwe zenu au sio zenu.
NB: nlvosema nazikubali nukuu za Mugabe sijamaanisha zingne zisikubali la hasha! Zote nazikubali. Naomba mnidondoshee zozote tafadhal. Love u all JF Member❤
Nice noteBora kumpa chance 20 mpenz wako mmoja kuliko kudate na wapenzi 20 tofaut, bora kuwa mjinga kuliko kuwa malaya
Uko sawa bwana mkubwa Sikupingi kabisa.Kama #uta ishi miaka 50 au 100 hapa duniani pasipo kufanya jambo lolote lenye kuleta mabadiliko yyte kwako mwenyew au ktk jamii yako wewe ni sawa na aliye fariki pindi anazaliwa
Milele
Ignorance is bliss???Happiness in intelligent people is the rarest thing I know.”-Ernest Hemimgway