Habari wadau wa JF.
Huu uzi maalum kwa ajili ya kutupia quotes katika lugha yoyote ile. Iwe ya kueleimisha, mapenzi, mitivation wewe tupia tu. Quotes nyingi zinabeba ujumbe mahususi na kumfanya msomaji kujihisi ujumbe huo ni kwa ajili yake. Hivyo basi, uzi huu utakuwa ni sehemu ya kusoma quotes hizo na ukihitaji utazikuta hapa.
Karibuni