:au naongea uongo ndungu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa.. husband matrillion..Mama mkwe wako Yupo full masinondowife mamilion... huku umemisika zaidi
Lakini nna iman mama mkwe kakufunza vyema zaid wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ndogo km hiyo,hauna miambili hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mabinti ambao ni watoto wa kishua na watoto wa vigogo wazito wao kuhonga sio shida kwao. Je unasemaje juu ya hilo?If she spend money onnu kaa ukijua huyo ni ng'ong'ozo au bibi kizee
Anaweza akawa mtoto wakishua ua wakigogo lakini sio pisi kali.Kuna mabinti ambao ni watoto wa kishua na watoto wa vigogo wazito wao kuhonga sio shida kwao. Je unasemaje juu ya hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeelewa lakini mkuu
Replacement..Our life is made by death of others-
Wakuu karibuni kwa tafsiri zaidi na dondoo
okeyy hapo nmekuelewa mkuu ...ile balance of nature form two😂😂Nafkiri anamaanisha ili wengine tuweze kuishi ama wengine waishi ni lazima wengine tufe ama wafe ili ipatikane nafasi ya kizazi kipya kuweza kuishi.
Sababu kama hakutakuwapo na vifo na huku dunia ikiwa na nafasi ile ile ni wazi kabisa hatutatosha
Sent using Jamii Forums mobile app