Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Nafkiri anamaanisha ili wengine tuweze kuishi ama wengine waishi ni lazima wengine tufe ama wafe ili ipatikane nafasi ya kizazi kipya kuweza kuishi.

Sababu kama hakutakuwapo na vifo na huku dunia ikiwa na nafasi ile ile ni wazi kabisa hatutatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
okeyy hapo nmekuelewa mkuu ...ile balance of nature form two😂😂
 
Back
Top Bottom