Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Hellow

We are EcoActs, we produce plastic timbers and poles, our poles are suitable for fencing making, gardens making, walks bridge and decking, also our poles and timber they do not rot, terminate free, free from resistant, not eaten by fungus, environmental friendly and reasonable price, for more info contact us through 0757671874/0676515441

ECOACT%20TANZANIA_89859946_537458736894846_8580270365541340202_n.jpg
 
"Madhara ya watu kutotaka kujihusisha na siasa madhara yake ni kuamuliwa mambo na watu ambao wamewazidi akili" alisema aristotle hivyo yawezakuwa kuna viongozi umewazidi "AKILI" Na "Maarifa" lakini now wanafanya maamuzi badala yako kwa kuwa umekataa kujihusisha na siasa,wakati kwa asili binadamu ni mnyama wa siasa yaani kila kitu kwake kinaenda kutokana na siasa
 
Haiwezekani mtu akakataa kitu kizuri (mathalani siasa hapa, kama ni nzuri kweli, I do not comfirm nor deny), halafu at the same time akaitwa kuwa ana akili. Hizo ni akili kweli, au!???
 
Back
Top Bottom