Amos Mtatina
Member
- Jun 5, 2021
- 50
- 43
Haiwezekani mtu akakataa kitu kizuri (mathalani siasa hapa, kama ni nzuri kweli, I do not comfirm nor deny), halafu at the same time akaitwa kuwa ana akili. Hizo ni akili kweli, au!???"Madhara ya watu kutotaka kujihusisha na siasa madhara yake ni kuamuliwa mambo na watu ambao wamewazidi akili" alisema aristotle hivyo yawezakuwa kuna viongozi umewazidi "AKILI" Na "Maarifa" lakini now wanafanya maamuzi badala yako kwa kuwa umekataa kujihusisha na siasa,wakati kwa asili binadamu ni mnyama wa siasa yaani kila kitu kwake kinaenda kutokana na siasa
Okay. Let's wait Mr Hai amuunge mkono Bi Mkubwa soon π"si kila mpinzani atakuwa mpinzani milele" Martin Luther King Jr II
Asilimia kubwa ya watu wako in relationship (we share something, in know, I have met with the person, I use their resources, money, time, etc) lakini hawako in love.It is okay to be in love,but its your choice to stay in relationship...means depends on how that relationship treats you