Binadamu hawezi kuishi bila Maji lakini dhahabu ina thamani kubwa kuliko Maji ingawa Bainadamu anaweza kuishi bila Dhahabu! Kilichoyaponza Maji ni kupatikana kwake kiurahisi mara baharini, Mtoni, Ziwani,Bwawani n.k Hivyo Jitahidi saana Kutambua Thamani yako Usipende kujirahisisha, kunyenyekea watu wasiouona umuhimu wako.. Kuwa na Msimamo, Jipende mwenyewe kwanza kabla hujaanza kumpenda Binadamu mwenzio!
 
Ni sawa lakini kuna uongo umeongea hapa ndugu. Yaani nikiona naendelea kuishi nijue kuna watu wamepoteza uhai wao ili mimi niishi? Hapa umepoyonga mzee
 
Napoleon Hill "Kwa namna yoyote fikra ya mwanadamu" inavyopokea na kuamini itafanikiwa
 
" There's no patch for human stupidity" ~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…