Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Akili za kuambiwa changanya na zako.............................babu wa Musoga
Pambana na hali yako..............................................................jiwe RIP
Kama unaona mia mbili nyingi piga mbizi.................jiwe RIP
Kazi iendelee.....................................................................................mama
Ruksa......................................................................................................mwinyi
Mnasema niwawekee lami jimboni kwangu tumieni mavi yenu kutandaza iwe lami.........................jiwe
Umasikini na magonjwa ni mtu na ndugu yake ujinga ni baba yao......................mkapa
 
"Mtu anaefanya wema hajitambui kama anafanya wema. Akijitambua tu kuwa anafanya wema tayari atakuwa hafanyi wema."
-Lao Tzu
 
"Huu muda utapita"
Ukiwa katika furaha/raha jua huo muda utapita tu
Ukiwa katika shida/huzuni fahamu kuwa huo muda nao utapita tu..
 
NI heri uchafuke ukiwa umeshiba kuliko kulala njaa ukiwa umependeza
 

Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    76 KB · Views: 14
Back
Top Bottom