Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Democracy is a device that ensures
we shall be governed no better than
we deserve. George Bernard Shaw
 
The People that you are associated with can not leave you neutral,you will either be like them or they will be like you..
 
If you can't be a good example then you must be a terrible warning.
 
""AT THE TIME OF CREATION OF MAN, I DONT FEEL SO OBLIGED TO BELIEVE THAT GOD SPENT MOST OF HIS TIME TO DESIGN THE HUMAN BRAIN"" by NICOLAX

.made in mby city.
 
[h=2]What you are is God's gift to you; what you make of yourself is your gift to God. - Jewish Proverb[/h]
 
There are loyal hearts,there are spirits brave,There are souls that are pure and true;Then give the world the best you have,And the best will come back to you.
 
Mwalimu Nyerere;
  • "Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
  • "Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
Nelson Mandela;
  • "Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
  • "Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika".
  • "Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
  • "Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"

Abrahamu Lincoln
(Rais wa 16 wa nchi ya Marekani):
"Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani".

Thomas Jefferson:
"Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima".

Lucille Ball: "Huwa najutia mambo niliyoyatenda kuliko yale ambayo sikuyatenda"

Confucius: "Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu"

Lao Tzu: "Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa"

Benjamini Franklin: "Uaminifu ni sera nzuri"

Abrahan Maslow:
"Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari"

Publilius Syrus: "Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha"

Aritotle: "Matumaini ni matumaini yanayotembea"

Plato: "Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"

John F. Kennedy:
"Samehe adui zako lakini usisahau majina yao" | "Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima"
----------

NB: Nawe ongezea ya kwako au nukuu nyingine zaidi za watu mashuhuri, kabla ya kuchangia.
 
Back
Top Bottom