Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Hapo kwa Nyerere nadhani inatakiwa isomwe NI BORA KUFA NA FIKRA HAI KULIKO KUISHI NA FIKRA ZILIZOKUFA... kwasababu kusema 'ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa' unakua haujasema chochote cha maana... Ubora unatiwa nguvu na matokeo mabaya kabisa ambayo utakuwa tayari kukabiliana nayo kutetea unachoamni.
 
Haifai kabisa kwa mwanaume aliyeoa kupepesa macho kwa wanawake wengine, kwa sababu macho yakiona moyo utamani.- Mtunzi Siasa Basi.
 
"money is not a problem, problem is how to spend it" yaani "Pesa si tatizo, ni tatizo ni namna unavyo zitumia" - I think it is by Chinua Achebe

" Don't ask what your country can do for you, ask what you can do for your country" yaani " usiulize nchi yako itakufanyia nini, jiulize nini utafanyia nchi yako " by J.F. Kennedy
 
Back
Top Bottom