Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Nyingine ni “walikuwa wamejifunika...wale watekaji walikuwa ni wazungu” [emoji1436]‍♂️
 
Miguu miwiri haifanyi kazi ira mguu wa tatu unafanya kazi?- Kuhani Mkuu, Butimba Mwanza. JULY 2019
 
"Katika maisha Kila mtu atakuumiza kikubwa ni kuchagua mtu yupi sahihi ambaye utavumilia maumivu yake."
.
horace_mann0.jpeg
 
Back
Top Bottom