Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa!Bakwata ni ccm
Ali pambana nao lakin alikuwa smart sana. Aliju when and how. Na hakutumia siasa kwenye hili.Kiongozi ni mtu aliyejitoa muhanga kwa ajili ya kulisaidia taifa lake, kwa MWL hakuogopa kuzuiliwa misaada, kuwekewa vikwazo alipambana na wakoloni kweli kweli. Tuungane na viongozi wenye nia ya dhati ya kulifikisha taifa letu kwenye nchi ya ahadi.
Tukiingia moja kwa moja katika mada iliyopo mezani siku ya leo ni msemo/quote ipi ya mwalimu Nyerere ambayo unaikubali na kukufikirisha ambayo aliwahi kuitoa enzi za uhai wake? Share nasi hapa chini.
“Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere
View attachment 1457973
Unavaa mashati na viatu vya mchongoko kutoka Malaysia ili kuwakoga watu imekuwa nchi ya kukogana hii?Ali pambana nao lakin alikuwa smart sana. Aliju when and how. Na hakutumia siasa kwenye hili.
Sisi tumeweka siasa na propaganda sana.
Tunawakemea mabeberu.. wakitoa pesa tunapokea..
Wakiwekeza tunawita wawekezaji.. maada wahisani.
Huu ni ukigeugeu.
Mwl J.K.Nyerere alikuwa na neutral point. Ndio maana alikuwa akiingia kwenye meza ya maridhiano na hawa watu.