Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Pepo hazina sifa ila pawapo Jehanum....Kipimo cha uzuri ni Ubaya.
 
Wametupima viatu mwaka huu Baada ya miaka mitano watakuja kuuliza "mlikua mnataka viatu vya Aina gani?"
 
Siyo mrisho. Japo ni mzoa makopo alisema..
Hata jalala linakitu cha thamani akamalizia sisi ni watu muhimu tunaficha uchafu wa tajiri..
 
Back
Top Bottom