Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Nzi hata umuweke kwenye mzinga miaka 100 hawezi kutengeneza asali- Mjomba wangu.
Unaishi Kama nzi ukiamka tu unawaza mavi yako wapi-Mjomba wangu
Ishi Kama nyuki ana mpangilio wa kazi anazalisha product "asali-" usiishi Kama nzi hana chochote cha kujivunia-Mjomba wangu
Huyu mjomba ako kuchoka sana
 
Nzi hata umuweke kwenye mzinga miaka 100 hawezi kutengeneza asali- Mjomba wangu.
Unaishi Kama nzi ukiamka tu unawaza mavi yako wapi-Mjomba wangu
Ishi Kama nyuki ana mpangilio wa kazi anazalisha product "asali-" usiishi Kama nzi hana chochote cha kujivunia-Mjomba wangu
"Nyuki ni NZI aliyeamua kuwa serious na maisha"
 
Back
Top Bottom