SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

1.sana
2.sana
3.sana
4.Mende
5.mandingo
 
Sasa mbona tukiwa na hela mnae delea kutupa mbususu huku mkijua hatuwafikishi?
Ndiyo maana Lamomy anakuchamba na maswali yako ya kijinga.
Sasa si umeshasema una hela au gari, wengine ndo wanapenda hivyo kuliko kukojozwa. Ukishampa hela anakojoa, wewe ukipiga mashine yako ni kwajili ya kujifurahisha mwenyewe tu!
 
Tuna tatizo pahala aisee
Kuna kitu nimekigundua wanawake wengi wameolewa kwa sababu za kiuchumi tu na sio mapenzi ya kweli, ndio maana kusikia usaliti ni kawaida tu🤔
 
Wife amenishauri nitafute concubine mwerevu, awe na sifa ÿa kupata/kuwa na mafao ya kikokotoo, sina kimbilio lingine zaidi ya JF community
Kweli uko kwenye ndoa miaka 27, maana siye baada ya umri flani wivu unakua umeshaisha. Wewe kajifanyie mambo yako tu, as long as huniletei mtoto wala magonjwa, wala sijali sana!
 
Hata tusipowalisha, kwa kawaida nyie mnakufa mapema kabla yetu.
Sidhani kama hii nadharia ni kweli japo lazima watakuwepo wanawake ambao mmeshawachosha na visa vyenu 😂 😂
 
🤣🤣🤣Hamtaki kuombwa hela wakati mnazo halafu kutumia hamtaki...sijui mnataka mzifanyaje Kalumbu?
Ukiona hivyo ujue hali ni tete, njia ya kujikomboa ni kuwa bahili tu, ila ndio ukiwa na msimamo wa hivyo unajikuta single tu😁😁😁
 
Ukiona hivyo ujue hali ni tete, njia ya kujikomboa ni kuwa bahili tu, ila ndio ukiwa na msimamo wa hivyo unajikuta single tu😁😁😁
🤣🤣🤣Hata hivyo usingle ni neema kuliko kupata wrong person
 
Siku uliyotolewa bikira ulijisikiaje? Na je ni kweli hamuwasahaugi waliowatoa bikira?
Nilijisikia hovyo tu, mimi aliyenitoa naye siku hiyo ndiyo ilikua mara yake ya kwanza. Kwahiyo ilikua ni experience ya kijinga jinga tu, hatukukulana after that kwa miezi kadhaa baadaye tukajaribu tena, with time mambo yakaanza kueleweka.

Anyway mimi nilimsahau na hayupo kwenye list yangu za midinyo bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…