SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Hujanijibu swali langu ni kweli mnavutiwaga na wanaume wenye sura nzuri
HAPANA
  • Mwanaume ambaye ana sura nzuri halafu hana hela na wala hajitunzi ni hovyo tu.
  • Mwanaume ambaye ana sura nzuri na akifika kitandani, anamwaga tui baada ya dakika 2 ni uchafu wa kukera tu.
  • Binafsi sivutiwi kabiisa na mwanaume mwenye sura nzuri. Napenda mwanaume, mrefu, mweusi, mwenye sura ya kiume iliyokaza.
 
Mfano mmoja nani ana huo msura unaodai kuvutiwa nao
 
Hapo hapooo,je hao wavaao nguo fupi ni kweli kwamba wanakuwa hawajiamini au wako kwenye biashara?ni kweli hiyo?
 
Hivi Kwa nini ma single mother wengi hawataki kurudiana na wazazi wenzao,,Ila wakipata mtu mwingine wanarudi kwa wazazi wenzao kupigwa machine?
Japo si wote,sema baadhi ndo ujikumbushia kwa wenza wa zamani,hawa mara nyingi ni kwamba walikuwa bado wawapenda wenzi wao wa zamani,japo walikuwa na kero zao na wengine wamekuta huku kupya hakuna upendo,,na wengine ni kukengeuka tu kimaadili.
 
NIlishakwambia achana na habari ya mashangazi, utavunjwa taya πŸ˜‚ πŸ˜‚

Unabanwa kwa sababu unamfikisha anakotaka, hebu focus tu na kale katoto kako ka alfu mbili maana hakawezi kukukosesha pumzi ukikanyonya πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…