Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Ha ha ha, Mtatiro alikuwa kiongozi wa Mambo ya Mikopo UD, jamaa alikuwa anapenda issue za migomo sana, yaani yeye utatuzi wake wa swala lolote ni mgomo tu.
Nashukuru kwa migomo yake tukaongezewaga boom kipindi kile nilikuwa nae room moja campus ya knyma. Siku hiyo nikamuazima koti langu la mvua akarudi limechanika kwenye vurugu za migomo sikumind sana maana hazikupita siku mkwere akatuongezea BOOM
 
Nashukuru kwa migomo yake tukaongezewaga boom kipindi kile nilikuwa nae room moja campus ya knyma. Siku hiyo nikamuazima koti langu la mvua akarudi limechanika kwenye vurugu za migomo sikumind sana maana hazikupita siku mkwere akatuongezea BOOM

Nakwambia jamaa kwa migomo ni shida, yaani yule nadhani hata watoto wake wakifanya kosa anaweza kuwagomea.
 
Nkmesoma na Makonda anapenda.

Ni mzuri kwa somo la kiswahili na kingereza tatizo anapendaa uongozi. Mambo ya security w shule anayapenda sana na anapenda kuheshimiwa KUZID hata headmaster
Siamini alikuwa mzuri kwenye kiswahili kwani hata kutamka "r" na "l" ni tatizo kwake.
 
Julius ( mkristo) mtatiro ( Mkurya) Mbona ana sigda pajini? Alinunua jina. Jina la katikati la kike ( nyumba ntobu)
[emoji1] kweli kwenye clip anaelezea alichoenda kukifanya marekani anaonekana ana sigda mkuu
 
Reactions: SDG
Nimesoma na Jumaa Mhina,Ras Longido,Jamaa alikuwa anapenda papuchi balaa,Sasa ana wake wawili,mmoja yupo Marekani na mwengine yupo kwake Ununio na Arusha naskia yupo na mtoto wa Kimbulu
Juma mhina?
 
Mimi nilisoma na watu wengi tu wasiyojulikana. Walikuwa watemi hao.
 
Mzee wa msoga leo anatimiza miaka 67 tangu azaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…