Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Nashukuru kwa migomo yake tukaongezewaga boom kipindi kile nilikuwa nae room moja campus ya knyma. Siku hiyo nikamuazima koti langu la mvua akarudi limechanika kwenye vurugu za migomo sikumind sana maana hazikupita siku mkwere akatuongezea BOOM
Hata alipohitimu chuo ilipotokea migomo alikamatwa yeye pale Survey
Nakwambia jamaa kwa migomo ni shida, yaani yule nadhani hata watoto wake wakifanya kosa anaweza kuwagomea.
 
Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
heshima yako mkuu..secondary 67 kweli umekula machumvi.
 
mkuu hili tango pori huyu kiduku mwaka 80 sidhani ata kama alikua kazaliwa
 
Miaka ya 80 kiduku hajaanza shule
 
Wakati huo PM mtatiro alikuwa anatikisa nchi. Kikwete kawavumilia na kuwakuza wanasiasa wengi wanaovuma sasa
 
Wakati huo PM mtatiro alikuwa anatikisa nchi. Kikwete kawavumilia na kuwakuza wanasiasa wengi wanaovuma sasa
Kweli kabisa.
Migomo ya VYUO ilileta hasara sana nchini,kuna wakat viligoma vyuo vingo sana kwa wakat mmoja
 
Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Duuhh, mzee shikamoo. 1967 - 1970, wewe ni mhenga.
 
nimesoma shule moja na cherokee d'ass yale mambo ya kupenda kuigiza xxxxx alikua anayatamani sana na kweli leo hii ni legend
 
Nimesoma na Angela kuna kipindi alikuwa kiranja alikuwa akimegwa na Headmaster hadi kufikia kupewa kibendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…