Meya Jackob wa Ubungo,nimesoma nae UDSM kozi moja,alikuwa kinara wa migomo "MAKUNJI" YOOTE,alikuwa.mstar wa mbele kabisa wakat wa mgomo by then alikuwa na mwili wa mazoez.
Then Silinde as "Hall mate" pale Hall Two,nae alikuwa kinara wa migomo,mhamasishaji wa Revolution Square,alifukuzwafukuzwa sana chuo ila mwisho wa siku alihitimu.
Pia Mtatiro,huyu tulimkuta as Waziri Mkuu wa serikali ya DARUSO,ane alisimamia migomo kadhaa kabla hajamaliza mmoja wa waziri wake wa Mikopo alikuwa akiitwa "BUSH" alikuwa mtata ssanaaa,leo hii ni mwajiriwa wa UDSM na ndo msimamizi wa hostel mpya za JPM pale UDSM